Nishaurini jamani, nikitongoza sikosi!

Status
Not open for further replies.

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,410
Reaction score
14,119
Nina tatizo ambalo ni peculiar!
Tatizo ambalo kwa kweli silipendi na huwa lina nisononesha!

Nina uwezo wa utani mwingi na ucheshi, na vile vile naweza kutongoza bila hata ya kudhamiria.
Pochi kwangiu si shida sana, lakini kinacho nishangaza ni kuwa kila mwanamke mzuri nineye mtongoza hata kwa utani anachangamka sana na tusishia sita kwa sita.

Nasema baada ya hapo huwa nasononeka sana na naishia kujihurumia.
Unanishaurije.
 
Andika wosia,andaa pesa za kuchimba kaburi,kununua maharage,kukodi turubai na usafiri wa kukupeleka huko ila utaanza na RV.
 

Kama unataka ukataliwe nenda mikumi katongoze chui. Au kama huo ujasiri huna, katongoze mwanaume aliyetoka kumfumania mkewe. Ukifaníkiwa hapo, ntaamini kweli una PhD ya utongozají.
 
binadamu wengi jinsi walivyo wakizidisha sana uwezo wa kitu fulani basi anatengeneza upungufu mkubwa upande mwingine,kuwa kwako mahiri sana ktk kuwapata wadada upande wa pili uwezo wako wa kuwa-maintain utakuwa chini sana.....n hilo utakuja kuliona ukianza serious relationship mpaka ndoa.....YOU WILL BE THE BORING KING IN YOUR MARRIAGE......thats the rule....80/20!
 
Mwanaume unajisifia kutongoza!! Poor you
 
Asante kwakushiriki tunaomba nafac nawangine waongeeyamhimu yaan unajisifukutongoza?
 
Du endelea kutongoza tu, na pia chonga kabisa na jeneza lako,najua na hilo haliwezi kukukatalia kuingia.
 
Hakuna tatizo endelea tu utaona matokeo yake
 
Kapime,huenda umeunganishwa kwenye gridi ya Taifa,kwa mawazo yako kukosa umeme ni ngumu mno una kila 7babu ya kupata nishati hiyo.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…