imenikuta mimi mwenzenu kuna dinti nilimpenda kiukweli nae alionyesha kunipenda lakini tulitofautiana navyo jua kukiwa natofauti nikuya maliza lakini cha ajabu nikimpigia cm apokei na akipokea anaongea atakavyo mwishoe nikaji kaza wakiume siku moja akanitamkia anitaki tena na mimi bado nampenda ila simuelewi sasa ananipigia cm ananiambia eti tuyaonge yaishe je"atakuwa ni mkweli" na mimi siko tayari kwa sababu alisha nitenda