Nishaurini dhidi ya huyu mchumba wangu

Nishaurini dhidi ya huyu mchumba wangu

pengine anataka attention yako tu...

humu utashauriwa sana uachane nae...ila kama unampenda wala usifanye hivyo

she wants u to get serious...kama uko tayari marry her...pengine anaona siku hizi upo upo tu..anajaribu kukushtua shtua aone reaction yako....

Mbona mnashadidia sana ndoa jamani? Sio rahisi ivo
 
Doctor huyo anakupenda sana ila anajua amekukorofisha sasa anarusha hizo msg ili ukasirike haraka ili uropoke ili ajue msimamo wako ili nae achukue hatua.Cha msingi ebu mpime kwa kumpiga chini.

ampime kwa kumpiga chini ili iwaeje?
 
Morning pals!..nilifanya maongez flan na kijana mmj alyemalza fom6 last yr juu ya maisha walyokutana nao jeshn...alnambia galz weng hufanywa sex treasures ili kupunguziwa shuruba za adhab pia kupata mda wakupumzka...alnambia weng waligongwa.

inawezekana makopro washaanza kujimegea sio?
Huyu jamaa nae si aoe huyo bint!
 
kaa kimya endelea na shughuli zako hizo text si zako amekosea namba.
 
Basi ampige chini.kama ndoa kwake sio rahisi.ultimatum ya mahusiano yoyote nini?

Sio lazima ndoa..it could be just for fun its human nature ila ndoa ni mambo mengine kabisaaa....sawa mtawa wangu?
 
Inawezekana jina lako na mpinzani wako yanafanana, au ile style ya honey1, honey 2, honey3 ktk kusave imesababisha
 
mkuu The Boss that is possible only kama jamaa huyo sio demu wake wa kwanza, I mean jamaa kama ana experience otherwise he cant....!

Kweli mkuu itamsumbua sana kama ni wa kwanza. Lakini mimi kwangu kumsahau mtu ni rahisi sana kwa mtu kama huyu
 
Last edited by a moderator:
Dah mwenzie anatafuta kasababu ili akuache so kimbia mapema umtangulie kabla hajasema yeye
 
We nenda tu lakini

Utajionea mwenyewe

BTW hakuna mchagga mwanajeshi

laivu ndugu ahahahahahaa ila wapo bana mweeee basi na mimi siendi na sitaki mume mwanajeshi
 
Back
Top Bottom