NISHAURIN JAMAN:-Kwa mapenz haya nitapelekwa jela.

mutahappy

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
529
Reaction score
188
Habar wana MMU!
Kipind cha nyuma kidogo nshawah kuomba ushaur hapa jukwaan kuhusu x-girl friend wangu, mlinishaur vzr sana na ushaur wenu niliutumia.

Short review
Nikuwa na msichana ambae tulidumu kwa mda.Ilitokea akaambiwa nina uhusiano na bint mwingine wakat c kwel.bila kuchunguza na bila kunisikilza aliniambia nisimjue.nilitahid kwa mda ilipo shindikana nikakubal yaishe.

Baada ya miez sita alianza mawasiliano na kuniomba turudiane nikakataa.baada ya kumkatalia kwa mda mrefu kulizuka ugomv.hakunitafuta kwa wiki moja na hapo nikaja pigiwa na ndugu zake kuwa amelazwa hospital na ajukal anaumwa ugonjwa gan coz kapimwa lakin hamna ugonjwa, kawa kama kichaa na kila mda ni kutaja jina langu.

Wazaz na ndugu zake walinipigia simu niende coz dactar aliwaambia wanitafute il nifike hospital.

Nilikataa kwenda,isitoshe nilisha hama mkoa na nipo masomon.baada ya hapo cjui nin kiliendelea na imepita miez mi tano sasa.(kwa jumla ni 2 years tangu tuachane)

JUMAMOSI ILIYOPITA
Nilipokea simu ya namba mpya kuuliza jina akajitambulisha ni Huyo X-girl friend.
Nikamuomba asirudie kunipigia simu akakataa na kudai anaenda kujiua.
Jpil nikapigiwa simu na rafik yake kuwa amenyang'anywa sumu na rafik yake.
Leo kanitumia sms akidai bila mim kubadil msimamo juu yake bas nijiandae kwa msiba.

Huyu msichana ameniweka ktk wakat mgumu na kwel anaweza kujidhuru na mim cwez rudiana nae kabisa ila kwa hal hii najiona nakaribia gerezan kwa kusababisha kifo cha mtu.
JAMAN NAOMBA MNISHAUR NIFANYEJE?
 
Huna kosa lolote hapo, na hakuna kifungu chochote cha Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kitachokutia hatiani.
Kosa la kujiua humuendea mkosaji, na zaidi kutishia kujiua pia ni kosa kisheria hivyo yule mwenye kufanya hivyo ndiye sheria inamtia hatiani.
Wewe endelea kula vya kwako na uliyenaye, mwache ajiue utatupa tu lokesheni ya msiba tuje kumwimbia "Parapanda italia".
 
Kutokana na hayo uliyo yasema,kwanza uliwahi muomba msamaha kuwa aliyo yasikia sio yakweli ila alikataa msamaha wako,jiulize kwanini alikataa?! Pili kwanini akutafute?!y

Nafikiri alikataa kwasababu ya upendo wake kwako,roho inauma sana kuona akichangia na wengine.

Kukuomba msamaha nibaada ya yeye kuchunguza nakupata ukweli.

Muda umekuwa mrefu: huwenda alie mrubuni na kumpa kichwa wameachana nakuona wewe ndie uliekuwa na mapenzi yakweli.

Nahisi huyu ukimpatia nafasi hawezi kuwa mtata maana ya dunia ameyaona.

Jiulize: kwanini mtu anaamua kuoa baamedi?! Nailhali tabia zao zinafahamika! Ingawa sio woote.

KUMBUKA: ulimuomba msamaha kwakua ulimpenda nae anakuomba msamaha kwakua anakupenda.

Tunasubiri majibu ya uamuzi wako.
 
Huyo atakua aliangalia movie moja ya kinaijeria, ameamua kuku-actia wewe.
 
mmmmh ana umri gani huyo,ukute ulimchanganya mtoto wa watu anahisi kwingine hatimiziwi mahitaji yake ya naniliu,dunia hii hivi unapenda hadi unatamani kujitoa uhai ukimuacha mwenzio anakula bata:nono::nono:anyway maamuzi yako mikononi mwako waweza msamehe au mpotezee
 
Nimekumbuka uzi wako wa mwanzo.Mkuu kama kuna uwezekano mpe nafasi nyingine, makosa huwa tunafanya wote.Sina mengi
 
Aisee we unapendwa, dah! Yaani hadi mtu anataka kujiua kwa ajili yako?!
Hata hivyo, hivi umeshawahi kujiuliza ilikuwaje kuwaje hadi rafiki yake akaiona hiyo sumu?! Alinyang'anywa sumu au walipanga akuambie alimnyang'anya sumu?! Unafikiri angetaka kujiua kweli hiyo sumu ingeonekana na mtu?! \

By the way, acha mapenzi ya kishamba! Shori alipewa umbeya kwamba unasaliti na hata ulipokan, hakukuamini!! Unazani katika haya mambo watu huwa wanaamini kirahisi? Ingekuwa wewe ungeamini kirahisi? Hakuamini, kwa hasira akasepa! Lakini alipenda kutuliza akili, akagundua amekurupuka na hivyo akaamua kuomba msamaha within short time! Ulikuwa na sababu gani za msingi za kukataa?! Au ulitaka ubembelezwe namna hii hadi usikie anataka kunywa sumu?!

Endelea kumdengulia; sumu hatakunywa ng'o! Pale utakapoanza kumtaka wewe sasa, yeye atakuwa hana tena habari na wewe! Mwanamke ndo anabembelezwa na sio mwanaume, we vipi bana!!
 
Kama unampenda bado mrudie ucmtese kiivo. lakin kama hisia zako kwake zimekufa mwambie aendele na maisha yake
Habar wana MMU!
Kipind cha nyuma kidogo nshawah kuomba ushaur hapa jukwaan kuhusu x-girl friend wangu, mlinishaur vzr sana na ushaur wenu niliutumia.

Short review
Nikuwa na msichana ambae tulidumu kwa mda.Ilitokea akaambiwa nina uhusiano na bint mwingine wakat c kwel.bila kuchunguza na bila kunisikilza aliniambia nisimjue.nilitahid kwa mda ilipo shindikana nikakubal yaishe.

Baada ya miez sita alianza mawasiliano na kuniomba turudiane nikakataa.baada ya kumkatalia kwa mda mrefu kulizuka ugomv.hakunitafuta kwa wiki moja na hapo nikaja pigiwa na ndugu zake kuwa amelazwa hospital na ajukal anaumwa ugonjwa gan coz kapimwa lakin hamna ugonjwa, kawa kama kichaa na kila mda ni kutaja jina langu.

Wazaz na ndugu zake walinipigia simu niende coz dactar aliwaambia wanitafute il nifike hospital.

Nilikataa kwenda,isitoshe nilisha hama mkoa na nipo masomon.baada ya hapo cjui nin kiliendelea na imepita miez mi tano sasa.(kwa jumla ni 2 years tangu tuachane)

JUMAMOSI ILIYOPITA
Nilipokea simu ya namba mpya kuuliza jina akajitambulisha ni Huyo X-girl friend.
Nikamuomba asirudie kunipigia simu akakataa na kudai anaenda kujiua.
Jpil nikapigiwa simu na rafik yake kuwa amenyang'anywa sumu na rafik yake.
Leo kanitumia sms akidai bila mim kubadil msimamo juu yake bas nijiandae kwa msiba.

Huyu msichana ameniweka ktk wakat mgumu na kwel anaweza kujidhuru na mim cwez rudiana nae kabisa ila kwa hal hii najiona nakaribia gerezan kwa kusababisha kifo cha mtu.
JAMAN NAOMBA MNISHAUR NIFANYEJE?
 
Nini kunakufanya ushindwe kurudiana nae???
Anyway mrudie tuu umsaidie hali yake kiafya na kiakili.. au umefall kwingine?? kila mtu anafanya mistakes bana.. Help her...
 
Mkuu hatuachagi mtu ghafla kama ivo, cha msingi jitahidi kuwa nae karibu ili ile hali ya kuwa mbali na wewe itoke kwanza then hata kama humtaki uende nae taratiibu na mwisho utakapohitimisha hatakuwa na machungu sana na hatachukua uamuzi mbaya kama huu. Cha msingi jitahid kumsaidia asijiue.
 
Aisee we unapendwa, dah! Yaani hadi mtu anataka kujiua kwa ajili yako?!
Hata hivyo, hivi umeshawahi kujiuliza ilikuwaje kuwaje hadi rafiki yake akaiona hiyo sumu?! Alinyang'anywa sumu au walipanga akuambie alimnyang'anya sumu?! Unafikiri angetaka kujiua kweli hiyo sumu ingeonekana na mtu?! \

By the way, acha mapenzi ya kishamba! Shori alipewa umbeya kwamba unasaliti na hata ulipokan, hakukuamini!! Unazani katika haya mambo watu huwa wanaamini kirahisi? Ingekuwa wewe ungeamini kirahisi? Hakuamini, kwa hasira akasepa! Lakini alipenda kutuliza akili, akagundua amekurupuka na hivyo akaamua kuomba msamaha within short time! Ulikuwa na sababu gani za msingi za kukataa?! Au ulitaka ubembelezwe namna hii hadi usikie anataka kunywa sumu?!

Endelea kumdengulia; sumu hatakunywa ng'o! Pale utakapoanza kumtaka wewe sasa, yeye atakuwa hana tena habari na wewe! Mwanamke ndo anabembelezwa na sio mwanaume, we vipi bana!!

Mimi nadhani huyu bwana anapaswa amwone huyo binti na amsikilize kwanza,

nayaona kama mambo ya kiujana zaidi, lakini hata hivyo sioni ubaya kama atatumia,

japo muda kidogo wa kumsikiliza na kumtuliza presha yake,

sidhani kama kumsikiliza ndo tiketi ya kurudia urafiki,

kama moyoni amesharidhia kujichomoa jumla hakuna ubaya, ila kusikilizana

ni dawa tosha ya kushusha ''temper'' alonayo binti.....
 
Huyo hakufai kabisa. Kama utamrudia kubali kubeba msalaba vinginevyo awe ni wa kugegedwa tu na wewe na si mke tena wa kuoa huyo. Wanawake ni wengi sana duniani kwa nini uhangaike naye kichwa bomu hicho?
 
kwani huyo dem mna undugu nae bana?.......alitafuta namna ya kukukimbia,, sasa kasahau nini kwako....akafllie mbali hasidi mkubwa huyo...komaa mkuu,,, maisha hanasonga mbele sio nyuma.....
 
Chezea kufa wewe? Mwambie anywe hyo sumu tu.
 
kwa nini anakupigia wewe ujiandae na msiba? Akikupigia tena mwambie msibz wake haukuhusu awaarifu wazazi wske wajiandae kwa huo msiba.... Na mtakie kuoza kwema huko kaburini mwisho mpe pole kwa kuukosa ugali maana ugali mtamu bwana.....
 
onana na ndugu zake waeleze yoote hasa ya kutishia kujiua, waambie msimamo wako na huyo bint akijiua you are not liable..wakutue kabsaaaa.
 
Habar wana MMU!
Kipind cha nyuma kidogo nshawah kuomba ushaur hapa jukwaan kuhusu x-girl friend wangu, mlinishaur vzr sana na ushaur wenu niliutumia.

Short review
Nikuwa na msichana ambae tulidumu kwa mda.Ilitokea akaambiwa nina uhusiano na bint mwingine wakat c kwel.bila kuchunguza na bila kunisikilza aliniambia nisimjue.nilitahid kwa mda ilipo shindikana nikakubal yaishe.

Baada ya miez sita alianza mawasiliano na kuniomba turudiane nikakataa.baada ya kumkatalia kwa mda mrefu kulizuka ugomv.hakunitafuta kwa wiki moja na hapo nikaja pigiwa na ndugu zake kuwa amelazwa hospital na ajukal anaumwa ugonjwa gan coz kapimwa lakin hamna ugonjwa, kawa kama kichaa na kila mda ni kutaja jina langu.

Wazaz na ndugu zake walinipigia simu niende coz dactar aliwaambia wanitafute il nifike hospital.

Nilikataa kwenda,isitoshe nilisha hama mkoa na nipo masomon.baada ya hapo cjui nin kiliendelea na imepita miez mi tano sasa.(kwa jumla ni 2 years tangu tuachane)

JUMAMOSI ILIYOPITA
Nilipokea simu ya namba mpya kuuliza jina akajitambulisha ni Huyo X-girl friend.
Nikamuomba asirudie kunipigia simu akakataa na kudai anaenda kujiua.
Jpil nikapigiwa simu na rafik yake kuwa amenyang'anywa sumu na rafik yake.
Leo kanitumia sms akidai bila mim kubadil msimamo juu yake bas nijiandae kwa msiba.

Huyu msichana ameniweka ktk wakat mgumu na kwel anaweza kujidhuru na mim cwez rudiana nae kabisa ila kwa hal hii najiona nakaribia gerezan kwa kusababisha kifo cha mtu.
JAMAN NAOMBA MNISHAUR NIFANYEJE?

Kiukweli hata mm nafanana na wewe lkn utofauti ni kwamba yeye alini~cheat at the end of the day akalia sana akapiga hata magoti sikufichi nikasamehe maisha yakasonga ISIPOKUWA mambo yalivyosasa ni tofauti kaka HAWA WATU HAWAELEWEKI nacho kushauri achana nae serious nakueleza
 
muache afe anatishia tu hana lolote huyo wewe kula kona atakuua huyo kitendo cha kuwa karibu naye ujue atakuwekea sumu ili ufe
 
Back
Top Bottom