sifa
Member
- Sep 15, 2009
- 19
- 2
Wana MMU salamu kwenu. Niko kwenye ndoa miaka miwili tuu sasa lakini naona ndoa inataka kuwa ya majonzi kwangu.
Kabla na baada ya kuoana na mume wangu maisha yalikuwa poa sana na tendo la ndoa ambalo tulianza kufanya hata kabla ya kuoana ilikuwa poa ttuu na wakati mwingine tulikuwa tunafanya hadi nahisi moto unaniwakia. Mume wangu ana matatizo ya kifua kuna kipindi aliugua sana akaanza kuchoma sindano zinaitwa DIPROFOS kwa kweli hali ikawa shwari kila kikiamka anachoma kinatulia tena kwa muda mrefu. wakati huohuo nilianza kuona mabadiliko kwa mume wangu kwani alianza kupoteza hamu ya tendo la ndoa twaweza kaa hadi wiki 2 haulizi chochote hadi nilianzishe. wakati huohuo tukifanya basi dakika mbili hadi 3 ashamaliza na yuko hoi na kurudia haiwezekani. Na pia nilihisi mabadiliko na ile kitu ilikuwa imekuwa kibamia ha ikisimama haifiki popote. Kwa kweli niliona napata tabu kwani nilianza kuhisi upweke na kukosa raha nikaamua kuvunja ukimya. Mume wangu alilia hio siku hiyo na kuniambia na yeye alikaa na kutafakari na kugundua tatizo lilianza alipoanza kuchoma zile sindano.Binafsi sikuwahi kufikiri chanzo chaweza kuwa hizo sindano. Nilimtuliza tukakubaliana tutaenda kumwona Dr. kabla ya kwenda alimwona Dr fulani akiwa peke yake na kumwelezea yule Dr akamwambia ndio madhara ya zile sindano hivyo aache kuzitumia na baada ya muda mambo yatarejea kama mwanzo. Alirudi nyumbani naa kunieleza baada ya hapo habari ya kwenda wote hsptl ikaishia hapo. Ni muda sasa umepita lakini hali bado ni ileile, nimejikuta nakosa raha na silali usiku kwa mawazo. nina kila kitu ninachohitaji lakini swala la mume wangu linanipa wakati mgumu sana. Tafadhali kwa yeyote anayeelewa kuhusu hizo injection anijuze, na pia nahitaji ushauri wenu. Nampenda sana mume wangu nahitaji kuwa na furaha na yeye pia afurahi. Please advice