Mkuu kama hautojari naomba nije inbox tuongee kidogoFanya ya babashop haina presha mwanzo ytakuw mgumu then baadae itasimama Mimi Nina babashop cha kufanya elewana na vinyozi wako kila kiti wakupe kiasi gani kwa siku ila nyama choma sikushauli life ya kuchoma sana nyama imepungua kwa sasa
Sina uzoefu ila nina jamaa hii biashara imemtoa yuko vizuri..kiasi kwamba sasa anifikiria kujenga mgahawa wa kisasa kila wilaya tanzaniaMkuu una uzoefu na hii biashara?
Umeelewa nn??Sasa umenijibu au umeniuliza swali lingine??
mkuu nieleweshe kidogo hapa..je huyo kinyozi atakua anakulipa kwa mwezi,wiki au kwa siku au we unafanya vipi mkuu...?Fanya ya babashop haina presha mwanzo ytakuw mgumu then baadae itasimama Mimi Nina babashop cha kufanya elewana na vinyozi wako kila kiti wakupe kiasi gani kwa siku ila nyama choma sikushauli life ya kuchoma sana nyama imepungua kwa sasa