Nishajizolea kule jiji mpya teule nikitaka muziki muzuri basi najua niingie kiwanja gani sasa kwa hapa dar wapi nitapata burudani kwa madj wazuri coz sitaki bendi niselebuke mpaka niombe sicksheet kwa muajiri wangu tafadhari
Nawasilisha.
Nenda hapo tbc 1 barabara ya bibi titi Mohammed karibu na kivukoni nyuma ya ikulu pale mbele kidogo ya mwendokasi alafu kushoto Kama unaenda tegeta then kulia pale Africana eeenhe pale kwa mzee waupako Kama unaenda kwa makonda nipazuri sana pale madj wakali wanatumia pilipili zile za Rwanda.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.