Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
- Thread starter
-
- #21
Shukrani mkuu nafanyia kaziUko Vizuri Mkuu
Kama Ulivyofanya Kwenye Hizo Sandals. Tengeneza Mikanda Ya Saa, Tafuta Mikoba Ya Kina Mama Uinakshi Kwa Namna Mbalimbali, Cover Za Simu N.k.
Unganisha Sanaa Yako Na Vitu Ambavyo Vinatumika Sana Katika Jamii Kwa Kuviongezea Uzuri Katika Muonekano Wake.
Nipo karatu mkuuUnapatikana wapi ? Iyo ya tz ntakuunga
bado kiduchu niropoke "haya yna chukua moja"Hivi Kuna watu bado wanavaa culture!!..
Kila la kheri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bado kiduchu niropoke "haya yna chukua moja"
ghafla bin vuu nakuja kutana na hii comment yako..
imebidi niuchune tuliiiiii......
bwana mkubwa Quinton Canosa sapoti yangu unayo
Daily ntakuweka mbele za Allah akufanyie wepesi shekhee
Maoni yenu lakin s unajua tena mitazamo ya mtu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nataka maombi tu..
Hivi Kuna watu bado wanavaa culture!!..
Kila la kheri.
Hii bei yake shi ngapi kwa jumla? Na zinakua ngapi? Una sample nyingine?
Hii bei yake shi ngapi kwa jumla? Na zinakua ngapi? Una sample nyingine?
Mkuu bado no wageni kwenye sanaa ndio maana sijawashangaaPambana arifu hiyo ndio asili ya Mwafrika kuna viumbe hapo juu nashangaa wanasema sijui kuvaa hizo mambo ni uhuni
Hivi nini maana ya uhuni? Maajabu muambie huyo aende Brussels akanunue hata half a carat ya blood diamond kama anaweza, sana sana watavaa uchafu wa english coated Gold halafu wanajiona wameyapatia maisha
Watanzania tuna midomo sana
Dada zetu wa SA endeleeni kudumisha mila. View attachment 1253981
Mmiu Kama upo maeneno ya dar , Arusha , Moshi au zanzibar utapiga hela kwa watalii .. Jitahidi usogee hayo maeneo nimetaja .. waswahili hawapendi vitu vyao...Mkuu bado no wageni kwenye sanaa ndio maana sijawashangaa
Mmiu Kama upo maeneno ya dar , Arusha , Moshi au zanzibar utapiga hela kwa watalii .. Jitahidi usogee hayo maeneo nimetaja .. waswahili hawapendi vitu vyao...
Mkuu umeongea fact sana mm nipo arusha
Kuna watu nawafaham wana familia kwa hizi kazi akiwemo mjomba wangu
Ushauri nakupa ndugu yangu.
yan ww niwendo kasi af mimi ni mkazi wa kimara ninaefanya kazi kariakoo ، nikikukosa ratiba zinavurugika zote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nataka maombi tu..
Niliachaga hamsini kweusi hukoo...
Sawa mkuu nimekuelewa niambie unataka kitu gani hapo nikuambie Bei yake maana Bei inatofautiana na kitu unachotakaUshauri nakupa ndugu yangu.
Unapoleta tangazo kama hili baada ya kuweka bidhaa zako kwanza weka namba ya simu, pili weka bei tatu weka sample zote kama inawezekanazikiwa na bei zake.
Hii ni biashara unafanya makosa madogo yatakutoa nje ya reli.
Nimeomba unitajie bei ya jumla ni shi ngapi na jumla unauza kuanzia ngapi umekausha! Usiruhusu tangazo limuachie mteja maswali mengi!
Be creative and smart!
Haya nakuuliza tena, jumla ni shilingi ngapi na unauza kuanzia ngapi? je una bidhaa nyingine?