Nisapotini wakuu wangu

Hongera kwa ubunifu na kazi nzuri,ingawa wavaaji wa hivyo vitu kwa maeneo niliyotembelea mimi hawapo kwa wingi,na wengi Kama mwanaume anavaa hivyo vitu (ukiacha jamii za kifugaji),jamii humchukulia Kama anamapungufu flani, ima ni mvuta bangi au mhuni mhuni.Ungekuwa unaweza pata nafasi kenya,huko ndo vimetamalaki maana hadi raisi wao anavaa pasina wasi wasi.
 
Una patikana wapi kiongoz,ni cheki whatsapp 0625888090
 
Kama wailvyosema baadhi ya wadau mkuu mambo now days yanabadilika ni ngumu sana bidhaa zako kuuzika humu au maeneo ya mjini, kama upo serious na kazi nenda maeneo ya ndani ndani vijijini utapiga pesa maana ndiko wana mambo ya hizo vitu
 
Sure...mm pia huwa nawachukulia wahuni...wangu ananunuaga huko bar akivaa tu naivua natupa...yaan mm uvae hivyo hapana aisee
 
Uko Vizuri Mkuu
Kama Ulivyofanya Kwenye Hizo Sandals. Tengeneza Mikanda Ya Saa, Tafuta Mikoba Ya Kina Mama Uinakshi Kwa Namna Mbalimbali, Cover Za Simu N.k.
Unganisha Sanaa Yako Na Vitu Ambavyo Vinatumika Sana Katika Jamii Kwa Kuviongezea Uzuri Katika Muonekano Wake.
 
Kazi nyingine hii mkuu

Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…