Nisamehe Rapunzel Saba mara Sabini

 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
He he he, hijaona kwenye sred uloanzisha nimemwambia lara 1, ukimshinda atuite tukusute na bisibisi?
JF ni a very serious business to some.

hahaha, na hivi kuna vikundi humu ndani siku hizi
 
siwezi kupoteza muda wangu kumtungia mtu story it's really happen
Ok sawa…lakini mimi sioni kama umekosea lolote ni huyu binti mwenyewe amejisababishia matatizo…kwasababu hakuweza kujizuia hasira zake na kuingia kwenye ugomvi akawekwa selo haimaanishi ndo lawama upewe wewe???Au anatafuta sababu tu za kukununia ili yake yamuendeee??Na huo ubize wake wakushindwa kukufata mgeni wake/mwenzi wake airport siuelewi,ukichangia alikuwa anajua kuwa unakuja!!:blabla:Hajapata anayemzingua kweli,ninavyosoma unayoandika kama anakuepuka….au it feels like you are the one in love!!
 
Rapunzel pls ebu njoo utoe la moyoni labda roho yangu itatulia
 
Last edited by a moderator:
Jf raha Leo

Sameheaneni bana muendeleze
 
7 5 mm
Kashushuliwa na Vaislay kashushukajee!
Ennhenhennhe watu wanajifanya wari wa kimakonde kunema juu ya mabega ya wenzao!
Mxxxxxxxiou!

hahahahahahaha!! Da we mpana ka pazia la leba!! Hahaha nlitaka kucheka tu! Em ngoja niende nkaone epsodes!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…