Nisamehe popote ulipo

Hahah

Mwambie asamehe Mkuu
 
HiviE="Asprin, post: 17504066, member: 9760"]Same there sweetheart....
[/QUOTE]
Hivi babu Asprin unawangapi humu?
 
We jamaa jinga saaaana khaaaah unaonekana mkatili sn na hyo dhamira iendelee kukusuta mpk kiama. Hata akikusamehe tafuta namna utubu pia kw Mungu na utoe sadaka ili ujisafishe mana utatesek sn.
Mimi sio mjinga Mkuu.

Tambua kuwa hata biblia inasema jino kwa jino Mkuu.

Alianza nikamaliza mkuu.
 
We jamaa ni katili saa! Nahisi hata katika ndoa iwe umeoa au utaoa utaishi maisha ya visasi kwenye ndoa! Omba Mungu ubadilike! Du sikujua kua sisi wanaume ni makatili hivi,
Thanks.

Ila tambua wanawake Sio watu wa kuwachekea ni wanafiki sana Mkuu.
 
Heshima yako Mkuu.

Anna alikuwa na mambo ya ajabu sana Mkuu.

Nilishawahi kutimba kwake wkeend hivi kipindi hicho anasoma UDSM nikamfumania akiwa na Jamaa kugonga mlango ukafunguliwa nikaulizwa unataka nini?.. Mwenyewe yupo ndani ukazuka ugomvi wa hapa na pale kimtindo.

Nilishangaa ANNa anapiga kelele mwizi Mkuu sema kilichonisaidia wale majirani zake walikuwa wananijua sana na walikuwa marafiki. Wakawa wamenitetea basi likaisha nikasepa zangu Mkuu.

Wakati mwingine hawa viumbe wanatupa raha ila kaa nao kwa akili.
 
Reactions: MC7
Ngoja na mimi ni-delete nisije nisije nikakutwa.Maana nime-save hivyo hivyo.
 
Afu bado wakurya tunasingiziwa kuwa ndio viumbe wakatili kuliko wote hapa tanzania!kumbe kuna viumbe wakatili zaidi yetu?
Hata hivyo alikutana na Mkurya Mkuu.

Tatizo akiwa anasoma pale UDSM alishawahi kunipigia kelele za mwizi kisa nimemfumania Mkuu.

Ndiyo maana nilisema nitakupata tu na kweli alipatikana.
 
Firauni mkubwa wewe,nimekuchukia sana.
Huyo mwanamke akikutafuta akapimwe akili.
Nifah, usichukie mdada mzuri.

Kama ni ukatili aliunza yeye maana alishawahi kunipigia kelele za mwizi kisa nimemfuma na Jamaa sema kufahamiana na nilikuwa mtu poa kwa majirani zake pale nikasaidiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…