Nisamehe popote ulipo

Hov

Hovyo kabisa,tena expert member! nani wa kuanza kuchosha akili na vidole vyake kutoa ushauri kwa ujinga huu,hujui ni kazi?
 
Hov


Hovyo kabisa,tena expert member! nani wa kuanza kuchosha akili na vidole vyake kutoa ushauri kwa ujinga huu,hujui ni kazi?
Wewe ni KE au ME?

Hakika kama ni ME basi utakuwa yule kaoge aliyehojiwa.

Umeandika maneno ya kike sana Mkuu.
 
Umenifurahisha kijana eti ulikua unadai haki yako., sa haki iko wap hapo akat uchi wake.,

Kuhusu kukiacha stand ulimfanyia bonge la surprise siku ingine atakua makini
Hahahah!

Nouma sana Mkuu..sina huruma na hawa viumbe maana wao ni hatari sana kuliko kitu chochote hapa duniani.

Walisababisha dhambi kipindi cha Adam mpaka Leo hii tunateseka kwa sabubu yao Mkuu!
 
ahaha lakini mbona kuna watu wanafanya makubwa na mabaya zaidi ya huyu.... bora amekiri kosa tu yaishe kiroho safi...

kunyimwa papuchi noma ujue... unaweza changanyikiwa
Siyo nouma tu ni hatari kwa afya Mkuu.

Unaweza changanyikiwa aisee!
 
hahahhahahha umenikumbusha mkasa mmoja hivi daaaaa ila mi nilimindi kinoma ila kimoyo moyo
 
Anyway thanks sibishani na mgonjwa


Siyo lazima kila thread utoe comment yako Mkuu!

Thread zingine unasoma tu unapotezea kama huna cha kuandika Mkuu.

BTW nashukuru nimetambua uwepo wako Mkuu.
 
Ila nyie wanaume sijui mna roho gani. Nilivyosoma hapa nikakumbuka 2011 kipindi hicho nimemaliza form six. nikaenda morogoro kwa rafiki angu. Siku moja tukawa tunatembea wakatokea wakaka wawili lecturers wa Mzumbe. Mmoja mzumbe ya moro nwingine mzumbe ya Mbeya. Huyo wa mbeya sasa akawa kama kanielewa mimi afu wa moro kamuelewa rafiki angu. Basi kuanzia pale tukawa tunachat na huyo kaka anaitwa Adam wa mzumbe ya mbeya. Mi sikua na mpango hata wa kutembea nae nilitaka awe rafiki tu. Mwanzoni alijifanya haelewi ila baadae akanielewa so tukawa kama marafiki dada na kaka. Kumbe mwenzangu bado alikua ana mpango wa kunigegeda bwana. Siku moja akanipigia cmu kuna mzigo wake uko moro nikamchukulie nimletee dar kuna mahali atanielekeza niupeleke. Nikamuuliza mzigo gani akakataa kuniambia akasema nisijali sio kitu kibaya kubeba nimsaidie tu. Huwa najali sana rafiki zangu na nilikua tu home basi nikaamua kwenda. Nikachukua elfu kumi ya nauli kwa mama mdogo nikaenda. Na nilimwambia sina hela akasema niende tu atakaenipa huo mzigo atanipatia na hela. Nikafika moro jion kama saa moja akamtuma driver mi najua ndo mwenye mzigo. Kufika driver akaniambia twende nikupeleke kuonana na huyo mtu. Tukaenda hotel moja hivi hata siijui jina kufika namkuta yule kaka. Nikamuuliza inakuaje uko huku na wew. Akasema aliniita vile Moro kunisurprise. Basi tukakaa muda wa kwenda kulala nikajua anachukua room mbili. Tukaenda lodge flani maeneo ya msamvu. Kufika room akasema nimsubiri akaniangalizie room yangu. Akarudi akasema amekosa nilale nae. Mi najijua sio mlaini kiviile nikamjibu sawa tutalala ila kesho narudi dar. Usiku alinisumbua sana basi tu alishindwa kunibaka. Asubuhi nimeamka hayupo na mizigo yake haipo. Akaja muhudumu akaniambia Adam kaondoka na kawaambia nakabidhi room. Nikampigia cmu yake haipokelewi mara ikawa haipatikani. Nikakaa mpaka saa tatu sioni dalili ya yeye kurudi. Kwenye bag nina elfu 5 tu ya kunifikisha ubungo. Kumbe kuna dada alimwagiza anipe elfu 5 ya nauli ya bus. Akaniletea nikaelekezwa msamvu nikaondoka. Nililia kuamini mtu afu akanitreat kama changudoa waliekubaliana biashara nikamzingua ndo maana akaamua kunikomoa kumbe hata neno mpenzi tulishalifuta. Huyo kaka mpaka leo namuombea mabaya yote yamkute na watoto wake wa kike wafanyiwe kama alichonifanyia mimi.
 
ooops i thought i a was stupid kumbe duuuh ww ndo famba aisee,,,m nilimgundua anacheat nikampeleka abood nikamlipia nikampa na chenchi inayobak yakumfikisha kwao nikadhan i was rude,ila kwa case yako i was gentle,next time dont do that
 

Duuh pole aisee ndo ivo ingawa sio wanaume ote wapo ivyo
 
Pole mzigua90

Ni PM nikwambie jinsi ya kulipiza kisasi.
 
ooops i thought i a was stupid kumbe duuuh ww ndo famba aisee,,,m nilimgundua anacheat nikampeleka abood nikamlipia nikampa na chenchi inayobak yakumfikisha kwao nikadhan i was rude,ila kwa case yako i was gentle,next time dont do that
Fresh Mkuu!
 
Dah... Kuwa na amani mkuu....Tulimlipia nauli hata nusu saa haikufika.... Yuko poa tu.......unajua yeye alikusave jina gani????
 
Dah... Kuwa na amani mkuu....Tulimlipia nauli hata nusu saa haikufika.... Yuko poa tu.......unajua yeye alikusave jina gani????
Pamoja Mkuu;

Sihitaji kujua alinisave jina gani Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…