Acha uongo picha ya kitambo hiyokama uonavyo hapo imetokea leo hiyo
God forbid...![emoji25] [emoji25] [emoji25] kifo kikikutaka kitakufuata popote
Ilitokea wapiAcha uongo picha ya kitambo hiyo
Sijui hata! Ila hiyo picha nimeiona kitambo kabla hata sijainunua hii Faith 1 Startimes Smartphone.Ilitokea wapi
Hahahah kumbe ya muda mrefu...!!!Sijui hata! Ila hiyo picha nimeiona kitambo kabla hata sijainunua hii Faith 1 Startimes Smartphone.
Naam kweli kabisa na akichagui ww nani na uko wapi..God forbid...![emoji25] [emoji25] [emoji25] kifo kikikutaka kitakufuata popote
Naam kweli kabisa na akichagui ww nani na uko wapi..