kwa sababu pombe haijazi tumbo ila maji yanajaza tumbo
Alafu ukijua itakusaidia nini sasa kijana kwa sababu maji ni maji na pombe ni pombe
pombe ikiingia tumboni kama inayeyuka vile ndiyo maana .. wanaokunywa pombe unakojoa sana....Pombe inajaza nini?
Kwakweli umeniacha na maswali lukuki 🙄
pombe ikiingia tumboni kama inayeyuka vile ndiyo maana .. wanaokunywa pombe unakojoa sana....
sasa wewe pombe si unakunywa kwa mapozi na hunywi kama majiLakini maji pia unakojoa 😀
pombe haina kaz mwilini so ukinywa mwili unahisi km umeleta kitu cha ovyo hivyo inadirectiwa kwenda out kupitia mfumo wa mkojo..ndo mana toilet utaenda hata mara kumi kukojoa...na ile alcohol iliyopo kwenye hicho kimiminika ndicho kinachogeuza ubongo wako na kuona kwenye maji unaona pakavu na pakavu unaona kuna maji...lakn unapokunywa maji huwa yanaenda kwenye seli kwa ajili ya kazi mbalimbali asa yanapokua yashatosha kwa wakati huo afu we unazidi tu kunywa yanakua haya be absorbed to the blood stream badala yake yanajilundika tumbuni hayana pa kwenda hahaha mwenyewe utastop kunywa coz utaisi tumbo linapasuka....yan kwa ufup pombe huwa haikai tumbon hua inapitiliza na kutoka km mkojo mda mchache tu baada ya kuinywa kutokana na u useless wake.....kwanini mtu anaweza kunywa lita kumi za pombe lakini hawezi kunywa lita kumi za maji kwa wakati mmoja?
Hebu tuondolee ujambazi wako hapa. Mbona unataka kututoa kwenye moodJe ww ni kijana na una malengo wahitaj kutimiza ila hujajua pa kuanzia?? Nafasi ni yako sasa. Tafadhali tembelea link hii ParttimeDuty.com - Earn from Your Home, Earning website for Students, Job-less people kisha ufate maelekezo. timiza malengo yako na PARTTIMEDUTY MARKETING GROUP. nafasi ni hii na fursa kutimiza malengo yako. Tembelea link tafadhali ni bure na kaz ni rahisi kwanjia ya kuchati tuu