ujue biashara ya mapera ni rahisi sana tutafanya biashara ya kupeleka mbegu za mapera ..tunakula mapera weeee kukifika huko tunawapa kinyesi chetu wanapata miche ya kutosha..so tutakuwa tunauza kinyesiMapera vipi, hayatakiwi? Nina miti mingi sana ya mapera nyumbani kwangu, nipeni deal bandugu!!!
hata kumenya matango na kupack tu sisi poa eti mimi namuogopaha haaa, haya ngoja niongee naye
ha haaa, usimwogope bana....hata kumenya matango na kupack tu sisi poa eti mimi namuogopa
ha haaa, usimwogope bana....
haya nitaongea naye tuone kama atatusaidia na wenzie tutoke[/QUOT
kuna watu hapa tuna miili ya kingoni akili za kichagga sijui umesahau
cc Mkirua na Nicas Mtei kwa uthibitisho
anataka kumtapeli tu matango yakeAngalia tu usitapeliwe. Kwa nini anataka mkaongelee mji mwingine na sio hapo ulipo? Usije ukachinjwa aisee.
ha haaa, hivi nilikusahauje?kuna watu hapa tuna miili ya kingoni akili za kichagga sijui umesahau
cc Mkirua na Nicas Mtei kwa uthibitisho
ha haaa, hapo sasa, lol!si ndo na mi nikashangaa!
we sema unataka tufanye biashara wapi,lini,na nani,ipi,yuuze u ununue nini!
mi nauza mpka majani ya ng'ombe ehehehhee
mnyamwezi gani tena unamwongelea wa kushindwa kuendelea na bizinesi?huyu mnyamwezi atanitega bana nipo weak sana kwa wqanyamwezi ujue..biashara haitafanyika hapa utashuhudia mengine