Nisaidieni.....

hahahhaha Tuko bana, hebu nifundishe bana jinsi ya kubania moyo wangu, halafu niwe bize kutoa ngozi, na mapafu tu

seriously nataka kutunza moyo wangu kabatini kabisa
 
Uwazavyo ni sahihi na ushauri ni mzuri kabisa na nitaufanyia kazi ila kuhusu yeye finacialy , bado siwezi kumpata hata soko langu la babia na nyanya chungu lingekua kubwa vipi. Na huyu si wale wanaovizia visent vya wenzao na yeye ni mtumish wa serikali huru miaka kwa miaka any wei wacha nijipe muda zaid nawashukuru nitarudi kuwapa mrejesho
 
sawa kabisa ulichosema nitakizingatia uzuri na yeye mhhh!! hana haraka na mm mzee mwenzie bs najione sawa kwan miaka mitatu bila hao watu nilimudu leo hii nni kinivuruge zaidi nazidi kumuomba mungu tu yeye ndiye anajua jinsi tulivyo kuhusu pesa za bamia zangu hapana yeye yuko safi sanaaaaaa!hana mawazo kwa kweli na si hiz pes za mawazo ingawa nami si za mawazo but yeye ni zaidi sana ya mimi .
 
Mpe muda, time will tell! Huyu mkuu anaweza hata kuwa alitunga stori kama walivyosema wadau hapo juu ili akukamate kiulaini. Kama yeye alikufuatilia kwa muda mrefu, hebu na wewe anza kumfuatilia kwa muda naamini iko siku utajua ukweli na kufanya maamuzi sahihi. Wanasemaga wahenga kuwa tabia haina dawa, na pia ni ngumu kuusemea moyo wa mtu! Kuwa makini aisee kabla ya kuifikiria kuizika kabisa ndoa yako ambayo nayo pia iko ICU!
 
Zahra White sikujua kama unajua kiswahili vizuri hivi. Nimesoma thread yako moja yenye link hapa chini, ulivyoiandika nikahisi ni mtu anayejifunza kiswahili, kumbe ni mswahili wa kutupwa! Umetudanganya sisi?!
Hebu gonga hapa u-review ulivyoandika ....10,000 Tshs after sex
 
ukute ni bomu kuliko alietangulia ...anataka kuchota hela za bamia sijui....waaaaaaaaai
matango......
chezeya anaona mama anajimudu matango mpaka nje ya nchi!
nani hataki lifti?
 
Reactions: BAK
matango......
chezeya anaona mama anajimudu matango mpaka nje ya nchi!
nani hataki lifti?
ooh kumbe matango bwana!
fp wenzetu wanapeleka matango nje sisi tumekaa tu hapa hata kuuza hapo mbele ya nyumba kagenge tumeshindwa?
tuchangamke mwenzangu
 
ooh kumbe matango bwana!
fp wenzetu wanapeleka matango nje sisi tumekaa tu hapa hata kuuza hapo mbele ya nyumba kagenge tumeshindwa?
tuchangamke mwenzangu
nakutegemea wewe ujue, mtoto wa kichaga biashara kudamu......
mimi ntatoa mtaji........
changamka basi mtoto wa kichaga na sisi tutoke, tunaweza kufika mbali ujue shosti? inaanzaga utani hivi hivi
 
ahaaa biASHARA SIO MTAJI TU MTAJI HATA MIMI NIAO ATIII? NIUZE NINI HATA HAPA JF NITOKE MIMI MWENZANGU?
 
miss u baba ushauri
 
Hp nina shida bwana mpenzi wangu akuniambia happy birthday siku ya birthday yangu roho inaniuma simpendi tena kama mwanzoni eti alisahau is it fair?
 
ahaaa biASHARA SIO MTAJI TU MTAJI HATA MIMI NIAO ATIII? NIUZE NINI HATA HAPA JF NITOKE MIMI MWENZANGU?
ndo maana nikakuambia hivyo.....
kuna ambao damuni kwao kuna biashara, wengine hapa sifuri
 
Reactions: BAK
Hp nina shida bwana mpenzi wangu akuniambia happy birthday siku ya birthday yangu roho inaniuma simpendi tena kama mwanzoni eti alisahau is it fair?

Hahaaaaa, Smile kumbe na wewe ni form 4 wa lukuvi?! Wa mpaka ustandardiziwe matokeo ndo upate nafasi ya kuingia form 5????
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaaa, Smile kumbe na wewe ni form 4 wa lukuvi?! Wa mpaka ustandardiziwe matokeo ndo upate nafasi ya kuingia form 5????
ahaaaa honestly nimeumia kweli ujue nilikuwa nampenda kweli since that daday moyo wangu umeumia kweli.ila yeye anaona ninamuonea ...ni fair kweli alivonifanyia? mi ndo furaha yangu sasa why me lakini?
 
ndo maana nikakuambia hivyo.....
kuna ambao damuni kwao kuna biashara, wengine hapa sifuri
hebu ongea na huyu mama hata atuunganishe tukauze na sisi matango hapo boarder sio lazima tuingie ndani kabisa kwenye nchi za watu
 
ahaaaa honestly nimeumia kweli ujue nilikuwa nampenda kweli since that daday moyo wangu umeumia kweli.ila yeye anaona ninamuonea ...ni fair kweli alivonifanyia? mi ndo furaha yangu sasa why me lakini?

Smile leo unaonekana una furaha sana, una miadi ya mtoko nini?! Maani sisi wazee hatuchelewi kunusa matukio!
 
hebu ongea na huyu mama hata atuunganishe tukauze na sisi matango hapo boarder sio lazima tuingie ndani kabisa kwenye nchi za watu

Mapera vipi, hayatakiwi? Nina miti mingi sana ya mapera nyumbani kwangu, nipeni deal bandugu!!!
 
Smile leo unaonekana una furaha sana, una miadi ya mtoko nini?! Maani sisi wazee hatuchelewi kunusa matukio!
ahaaa am always happy bwana sema ndo hivo naona shetani anamnyemelea baby wangu yaani birthday hajanipa hata wish moja ...nafikiria kumwaga sasa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…