Mimi ni msichana nina 26 years, nina boyfriend wangu tumeanzana tokea chuo lakini huwa haonekani kunijali ananitafuta akiwa na shida zake za............, nilimsemaga akajirekebisha kidogo, badae tukawa tunaongelea mipango ya ndoa na akasema ataenda kuongea kwao, alirudi ananiambia kwamba mama yake anataka mtu wa kabila lake (mkurya) lakini anasema yeye ananipenda nisihofu nisubirie labda mama yake atabadilika. msimamo wake kutwa ni visingizio mama anaumwa, sijui kazi anatoka usiku, simu yenyewe napigiwa jumamosi akiwa na shida hata sielewi na ananigagania eti nisimwache na hataki hata niwe na mtu ananifatilia kweli. naombeni ushauri je huyu mtu ananipenda hajui kuonyesha mapenzi au ananipotezea mda, na suala la mama kweli anaweza kubadilika au changa la macho?
Haswa msaidieni na hata ukimwandikia PM ili mumfunde huyu mwali ili afundike itakuwa siyo vibaya.Hakupendi huyo anataka mbuchu yako kama uko tayari endelea kumgawia labda unampa vizuri kuliko huko kwingine..... mengine akili kumkichwa dada!
Hapo mnatofautiana malengo tu
Wewe unataka mahusiano yenu yaelekee kwenye ndoa. Kijana amekuwa wazi na matarajio yako (soma jibu lake hapo kwa red). Huyo mama yake mnaishi naye karibu kiasi kwamba atakuona tabia zako kisha abadilishe msimamo wake?
Ushauri wangu: kama unahitaji kut.... tu endelea naye huyo kaka maana umesema na yeye anakutafutaga tu akitaka hiyo huduma. Ila mdogo wangu kama unahitaji ndoa shtuka, hujachelewa bado!
Hakupendi huyo anataka mbuchu yako kama uko tayari endelea kumgawia labda unampa vizuri kuliko huko kwingine..... mengine akili kumkichwa dada!
hivi haya mambo ya kabila bado yapo duh! hivyo ni visingizio tu ili aendelee kukuchezea ila hakupendi kabisa. chukua time zako wanaume ni wengi hasa ukijiheshimu lakini heshima ni 0 loh utaendelea kuchezewa sana. take care bidada.