MECKIAD RUYINGO
Member
- Jun 10, 2011
- 20
- 0
Jamani pole sana! hii face book hii!! haya mi no comment, pole lakini!Kuna kaka nilikutana naye facebook, tukapeana namba za simu tukawa tunawasiliana vizuri mpaka sasa tumefikisha mwaka mmoja. Wakati nikitafakari undani wa upendo wetu ikaonesha ya kuwa mkaka hana mapenzi yakweli kwani alinipatia information za Uongo.
1. hakuwa na mpenzi name kuwa chaguo lake la pekee,
2. eti anaishi Kenya, mfanya biashara,
3. Familia niya elite group.
Kwa sababu hizo tukaamua kushirikiana kwa kila jambo japokuwa tuko mbali from each other tena mwaka ujao tulipanga tukatambulishane kwa wazazi.
MWISHO WA SIKU….nikagundua kuwa kaka anampenzi wake na wanasoma chuo kimoja mwaka wa pili, yuko Tanzania chuo kikuu cha Dodoma
Je nifanyeje?
Kuna kaka nilikutana naye facebook, tukapeana namba za simu tukawa tunawasiliana vizuri mpaka sasa tumefikisha mwaka mmoja. Wakati nikitafakari undani wa upendo wetu ikaonesha ya kuwa mkaka hana mapenzi yakweli kwani alinipatia information za Uongo.
1. hakuwa na mpenzi name kuwa chaguo lake la pekee,
2. eti anaishi Kenya, mfanya biashara,
3. Familia niya elite group.
Kwa sababu hizo tukaamua kushirikiana kwa kila jambo japokuwa tuko mbali from each other tena mwaka ujao tulipanga tukatambulishane kwa wazazi.
MWISHO WA SIKU….nikagundua kuwa kaka anampenzi wake na wanasoma chuo kimoja mwaka wa pili, yuko Tanzania chuo kikuu cha Dodoma
Je nifanyeje?
Pole sn.cha kufanya hapo n kusepa 2.mpotezeee japo n ngumu na ìnaumaa!
Naona shosti kama unataka kuambiwa endelea nae atabadilika! ebu asikutie jiti la roho muache na alokua nae na wewe futa mawasiliano na yeye,na hayo mambo yakukutana kwenye FB shosti punguza wengine magumegume amkaaa...