Kama laptop imekuf power supply inachotakiwa kubadilishwa ni power supply. aLkini thibitish hilo kuwata tafuta fundi apime kama iliyokufa ni power supply IC inayosambaza moto kwenye MOBO.
Inawezekana Sio Power suply labda Powe adaptor ndio imekufa. Umejaribu kuazima power adaptor mpya bado haionekani kupokea moto?.
Motherbod za laptop kufa sio rahisi . Watu wengi wanabadilsha MOBO lakini mara nyingi tatizo inakuwa ni some IC tu kwenye MOBO