L LUCHELELE Member Joined Jul 12, 2011 Posts 27 Reaction score 5 Jul 18, 2011 #1 wakubwa shkamooni wagogo habari zenu.mi mgeni kabisa humu sielewi chochote.nahitaji mwongozo .si mnajua tene kuku mgeni hakosi kamba mguuni?
wakubwa shkamooni wagogo habari zenu.mi mgeni kabisa humu sielewi chochote.nahitaji mwongozo .si mnajua tene kuku mgeni hakosi kamba mguuni?
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,832 Reaction score 13,798 Jul 18, 2011 #2 Marahaba, karibu sana JF.
The Finest JF-Expert Member Joined Jul 14, 2010 Posts 21,605 Reaction score 6,097 Jul 18, 2011 #3 Karibu Sana JF
arabianfalcon JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 2,285 Reaction score 585 Jul 18, 2011 #5 Karibu sana JF,jisikie uko nyumbani utakumbana maoni ya aina nyingi wengine wata kusemea onvyo wengine watakutuliza nafsi yako,yote hao utayapata lakini vumilia manake ndio mambo na kuwaheshimu wote ndio malezi ulokulia,haya karibu mwanakwetuu.
Karibu sana JF,jisikie uko nyumbani utakumbana maoni ya aina nyingi wengine wata kusemea onvyo wengine watakutuliza nafsi yako,yote hao utayapata lakini vumilia manake ndio mambo na kuwaheshimu wote ndio malezi ulokulia,haya karibu mwanakwetuu.