Kuna ualimu, nursing, computer, law, n.k
Bahatisha mkuu hakuna 'kulingana na nchi yetu' nchi ynyw haileweki hii priority kila mwaka zinachange.
Msihi afanye tena application.
Kama hakuajiriwa atajiajiri mwnyw. Kwa kozi yeyote katika hizo na nyingine *ualimu ndio Mara utahitaji ajira hata hivyo ualimu una possibility kubwa kuajiriwa
Ahsante kama umenielewa.