anjnr
JF-Expert Member
- Dec 13, 2010
- 539
- 209
Kila nikijaribu kufungua website ye wizara ya afya, Ministry of Health and Social Welfare haifunguki, nimejaribu kutumia browser ya simu na hata opera mini niliyo-install haifungui. Website zingine kama wizara ya elimu, necta, inafungua. Naomba kujua kwa wazoefu labda kuna settings haziko sawa au ni website yenyewe hairuhusu. Simu nyingine kama nokia na huawei ya android inafungua hiyo website, tatizo ni kwa hii blackberry, naombeni msaada. Model ni curve 9220
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums