Nisaidieni Wataalamu

Nisaidieni Wataalamu

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,007
Nawezaje kuweka document kwenye PDF Format? Nawezaje kutengeneza slides za Power Point Presentation?
 
chukua hii mkuu ni best, idownload na uifanyie installation. Then fungua document yako ya word au hata ukichapa nenda kwenye save as itakuletea ile window ya kusave sa chini ya pale ambapo uwa una name jina la doc, kuna sehemu imeandikwa save as type click hapo utaona pdf ndo uchague kisha save. Baasiii yani document inakuwa fresh kuliko kutumia converter.
http://download.microsoft.com/downl...b6-4031-aa98-0a3db7403d0f/SaveAsPDFandXPS.exe
 
Asanteni Waungwana.Bado ya pili kuhusu kutengeneza Power Point Slides katika PPT Format
 
power point fungua ms power point, chagua template anza kuandika unachotaka na hakikisha kila slide haina zaidi ya mistari 7 ikifika saba anza new slide baada ya hapo unaweza chagua transition kwa kila slide
 
Ubarikiwe Mkuu
 
Usisahau pia unaweza kubadilisha PPT kuwa PDF file
 
Hata mimi nimejifunza kitu mkuu@Kichwani-Kichwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom