Nisaidieni wana jf.

<br />
<br />
We Boss ushauri gani huu sasa!? Mwone vile
 

Exactly,...alihitaji space ku sort out yaliyomo kichwani mwake, ila wewe ndio hivyo tena ukawa unafululiza kum distract.
if you know her really well, utamuelewa na kumsamehe.

Kila la heri.
 
babu hiyo imekula kwakoooooooooooooo
 
chukulia poa labda alikuwa na hasira na kitu kingine wewe ukajichanganya ikala kwako inauma sana ukimpigia simu mwenzio especially usiku asipopokea but that is life
 
Can you have peace of mind in whatever you may decide?
 
Aisee unabahati hakumpa jamaa akwambie. ''Sorry yupo bafuni anaoga''. Anyway kama ulikuwa mwaminifu basi ujue mungu kakupenda na kukuonyesha kuwa hamtofika mbali. Usiwe na hofu na umri maana tunapanga vingapi na hivfanikiwi yupo wa kwako aja wala umri wako hautamzuia kupenda na utatimiza mambo yako vizuri tu. Stay strong usiharibu program zako.
 
Oyaa..wee mlachake..huyo demu alikuwa anaongea na mie new boyfriend wake..wewe amestukia unamzingua maana upo 32yrs old na mtoto ulezaa na demu mwengine kisha ukamwaga hujamwoa amekusoma unamchezea soo ameamua kuwa nami nisiyemchezea na kumpotezea muda wake na hata nikimwoa hatopata usumbufu wa kuitwa mama wa kambo...sijange dogo... Kama hutaki au huamini leo mpigie simu uone atavyokumwaga... na nimemwambia ukizidi kumfuatilia atakuunganisha nami nikupe vipande live.. CHAPA LAPA DOGO MCHUMBA NDO KESHA KUMWAGA.
 

All the best budy,

Kuvuja kwa pakacha
 
ina uma sana lakini jipe moyo uwe jasiri, wala usiwe na papara ya kutafuta mwingine, tuliza akili yako. Maumivi yote yataishatuu. Hakuna lisilo na mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…