Nisaidieni wana jf ushauri tu! mungu atawabariki sana

Oya oya easy people! haa kijan kalomba ushAuri dont be too hard on him. Hvi tunajua umri wake hadi tuone kuwa haezi majukumu? Amesema financially moderate tunajua anamaanisha hela kiasi gani? Hunda zinawatosha?

Easy people. Hapa timshauri tu bila kumnnanga

Halafu naomba Asprin, snowhite na gfsonwin mkahudumie ndoa zenu. Hapa abaki The Boss na wengine wa aina yake.
ah ndoa zenyewe leo zimesema kuna mechi ya nani na nani cijui au nshadanganywa mwalimu wako?
 
umemsahau nyumba kubwa!nae yupo kajaa tele
 
Imekula kwako mazima snowhite! Stuka mwalimu!

ahhhaaahahahahahhaahahahhahhahahah,haya bwana ngoja leo nimwache apumue kidogo manake na mi kwa kukaba si unanijua!siku moja moja unampa kachans ka kujitutumua naye kwenye story za wanaume wenzie!asije akajiona hajakamilika bure kutokukuonja Nje cup mara moja moja!si atakosa point za kuchangia sasa!
 
ah ndoa zenyewe leo zimesema kuna mechi ya nani na nani cijui au nshadanganywa mwalimu wako?

Hujadanganywa. Hata mi naangalia mpira hapa. Kama unabisha mpigie mai waifu atakuambia nimemuagaje. Btw Kaizer anafanza nini hapa kwa wanawake wa kiafrika?
 
Last edited by a moderator:
Hujadanganywa. Hata mi naangalia mpira hapa. Kama unabisha mpigie mai waifu atakuambia nimemuagaje. Btw Kaizer anafanza nini hapa kwa wanawake wa kiafrika?

mh!hapa sasa akili kichwani mwangu!ila nimemwambia Kaizer leo sijataka kukaba manake na mi kwa kukaba ni noma mpaka penalty!sasa leo ah!nimeona ngoja akatafute point za kuchangia kwenye kijiwe cha wanaume wenzie asije akabaki anashangaa tu wenzie wakiwa wanachangia na kumwaga mipwenti ya Nje Cup!
 
FYI wanawake wanaobana sana ndio wanaibiwa kinoma. Chezeiya mwanaume weye?
 
how? Embu elezea kidogo

we nenda kaishi nae hata semester 1 ,halafu hesabu mtakuwa mmetoa mimba ngapi,amekulaza nje mara ngapi,na washkaji wangap watakuwa wamepitia na wenyewe..hapo presha ni lazima especially kwa ushamba wako kwa wanawake.
 
Dogo huyo binti amekuona wewe mdhaifu sana , achana na kuishi na binti hutaweza kuishi na mtu huku unasoma.

Nenda kaanze chuo utakutana na totoz nzuri nzuri
 
kama una mpango nae mi sidhani kama ina shida but itabidi muwe na msimamo wa aina yake hadi muda milopanga kuoana ufike, mapenzi ya kweli ndio hayo ya kusaidiana hata mungu atakubariki na huwezi jua kama hilo ni jaribu mungu ameamua kukupitisha
 
nilichosikia mimi ni kuwa wanafunzi wanalalamika boom haliwatoshi hivyo kwa point ya financial capability itakusumbua kumtunza huyo mwenza wako,watu wengine chuo wamekutana na watu mbalimbali hivyo misimamo yao ikabadilika chukua muda wako huu kuendelea kuwasoma watu usije baadae ukaona umejitwika mzigo usiojua uzito wake,watu wanaohudumia huhudumia kwa nia tatu wengine humanitarian reason(hawategemei kitu on return),wengine blood relation(they fullfill their responsibilities) na investors(wanategemea something on return), kwa mtizamo wangu ww utahudumia kama investor ukitegemea love,take care kwenye investment huwa tunaangalia risk involved!
 
kwa maisha ya sasa yalivyo magumu tena uongeze shida nyingine duh kwa kweli kama moyo unao
pokea ushauri uliotolewa na wahusika.hapo juu
 
sijasema na uwezo na wala sijaliamua hilo icpokuwa nilitaka ushauri na sio kuniponda note sijaamua kulifanya hilo kabla ya ushaur ya wana jf

Yaani nakurananisha na nephew wangu niliyegoma kumpa pesa tena. Akiwa form six alikuwa na mdada wa Saut anajifanya ni kidume huku anatupiga mizinga baba yake na mie auntie yake!

Yuko chuo sasa hivi, lkn nimeshasema sitoi pesa ya yeye kuhonga vidada; the way nonavyohangaika hadi nasacrifice happiness yangu, no****inway aisee!
 
vip mkuu umeshamaliza chuo? vp hii ishu inaendelea vp au ulishatemana na binti
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom