snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 17,702
- 23,618
ah ndoa zenyewe leo zimesema kuna mechi ya nani na nani cijui au nshadanganywa mwalimu wako?Oya oya easy people! haa kijan kalomba ushAuri dont be too hard on him. Hvi tunajua umri wake hadi tuone kuwa haezi majukumu? Amesema financially moderate tunajua anamaanisha hela kiasi gani? Hunda zinawatosha?
Easy people. Hapa timshauri tu bila kumnnanga
Halafu naomba Asprin, snowhite na gfsonwin mkahudumie ndoa zenu. Hapa abaki The Boss na wengine wa aina yake.