naomba msaada jinsi ya kufanya screen shot kwenye instagram.na je mpaka simu zenye uwezo mkubwa au la.na njia mbadala ya kusave picha kutoka instagram.asanteni

Bonyeza power button na volume 'down' button kwa pamoja sekunde chache utaskia clicking sound alafu nenda kwenye gallery ya simu utakuta folder la screenshots,,