Yani mtu anarudia trna na tena unavumilia kisingizio moyo?!
Kuendekeza ujinga ndo kitu watu wengine hatujaumbiwa
Sikumbuki mara ya mwisho nmemlilia mwanaume ni lini.....
Maamuzi ni yako maana tunaweza kushauri achana nae kumbe ukibembelezwa mahaba yanarudi utatuona sisi tulikua tunakupigia kelele
Daah Kwahiyo hata Mimi huwezi kunililia fresh Tu
Kama navyodanga na ww ss hivi shubaamitiSame haujuwi lini umewahi kuingia kwenye serious relationship...kama haujui kuvumilia na kumbadilisha mtu kalagha bao...utaendelea kudanga mpaka mwisho wa safari yako hapa duniani
Si unajua kwann sijaitikia jirani tukutane tunapokutanagaOooh good morning my neighbour?
Hahahaahhahahah...naona kitaulo kimekupapasa vizuri...povu la sabuni ya magaji limekutoka...kweli nimeamini unastress mno...pole mpaka ndo maisha lakini..Kama navyodanga na ww ss hivi shubaamiti
Unahisi kila mtu anapata mahaba ya manyanyaso eeh
Go buy a brain halafu uje nikueleze.
Si kila mtu anapata mtu asiejielewa na kutoa mahaba ya kichoyo
Jipe muda na ukubaliane na matokeo. Usipende kumfanya oxygen ndo maana anakutesa maana anajua huna option zaidi yake.Jinsi ya kuachana nae
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mi nabishana na boys ss ww ndo aina ya vijana mnaosumbua wadada wa watu jinga wwHahahaahhahahah...naona kitaulo kimekupapasa vizuri...povu la sabuni ya magaji limekutoka...kweli nimeamini unastress mno...pole mpaka ndo maisha lakini..
Mi nabishana na boys ss ww ndo aina ya vijana mnaosumbua wadada wa watu jinga ww
Kumbe unajipigia promoKama wewe unavyosumbua vijana eeehhh...wadada wakisumbuka ujue wayataka wenyewe...wewe pambana na hali yako...kama wavutiwa na mimi njoo PM tuyajenge...kuwa mpole mrembo
Pole sana big cc...mapenzi sometimes yanazingua mno tena sanaaa...ukiyashupalia unaweza ukapusuka mishipa ya shingo...wewe hiyo mwana nenda naye aste aste...kama unajua unawivu wa kupitiliza jiandae kupata corona ya mapenzi...
Kama haumuelewi paki pembeni wacha madanga yafanye kazi yao..ila swali la kujiuliza unaweza kusonga bila yeye...usije ukatuletea mabandiko mengine ooohh maisha yamenishinda oohh kila mwanaume ananifanyia visa....jambo la kujua wanaume wote wamezaliwa wala hawajashushwa kutoka mbinguni...ukileta malalamiko mi nitakutakia R.I.P tu...
Haya amka ukanywe chai nzito...nenda kaoge...tafuta shoga yako mpenda umbea mkajazane sumu...mwishowe siku imeisha...akirudi huyo jamaa...mpe sex tamu mpaka astaajabu...
Ovaaaaaaaa
Same haujuwi lini umewahi kuingia kwenye serious relationship...kama haujui kuvumilia na kumbadilisha mtu kalagha bao...utaendelea kudanga mpaka mwisho wa safari yako hapa duniani
Eti umuache huyu kijana... Una sound kama big mama
au mwanamke uliemzidi sana umri huyo kijana wako
sasa huyo kijana wako nadhani usimuache maana ktk
mapenzi Kuachana haijawahi kuwa solution,kama umeshindwa
tafuta tatizo ukalitatua na solution inayokuja kichwani mwako ni "kumuacha"
nakuhakikishia wewe ni wale wale tu,hata uwe na nani bado mtaachana.
kwasasa hivi Pambana na kijana wako,hamna ushauri ninaotoaga kwa wapenzi.
Huyo achana naeHabari za jumamosi wakuu
Nikiwa bado miguu imekufa ganzi nimeshindwa kutoka kitandani namuwaza huyu mwanaume wangu ambaye nilishaweka bandiko hapa kwa ajili yake.
Jana aliniaga anatoka na dada yake mmoja na shemeji yake kweli wakatoka na picha nikatumiwa (naishi mkoa tofauti na alipo)
Ilipofika saa 6 hivi akanipigia akanambia wapo club simu ikakata. Nikaja kumpigia baada ya kama Dk. 10 akapokea simu mwanamke akanambia Kwa nn nampigia bwanake simu usiku huo. Simu ikakatwa
Baada ya Dk. 20 jamaa anapiga namuuliza umempa nani simu yako anashangaa na kuwauliza Dadaake na shemeji yake kuna mtu kapokea simu yangu (nasikia wanajibu hatujapokea)
Tumegombana hapo ila sauti ya mwanamke nikagundua ni shemeji yake (mke wa Kaka yake) aliyepokea simu lafudhi yake maana siyo mwafrika
Tumeongea hapo wee akanambia anataka awapige apo washalewa wote nikamwambia achana nao rudini nyumbani
Toka hiyo jana simu haipatikani hadi sasa
#Nnachoomba ushauri nimuache huyu Kijana au niwe nae kwa starehe tu maana ndo amefocus huko kwenye starehe sana
Najua hapa akiwasha simu ataanza kulia ila haya mapenzi siyawezi kabisa wakubwa nishaurini nifanye nini
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahahahahaha......!! We Demi wewe.... unamshangaa kwa kutoka na kijana?
Hii ni Ile Jamii Forum iliyonipa ushawishi wa kujiunga au ni nyingine?Habari za jumamosi wakuu
Nikiwa bado miguu imekufa ganzi nimeshindwa kutoka kitandani namuwaza huyu mwanaume wangu ambaye nilishaweka bandiko hapa kwa ajili yake.
Jana aliniaga anatoka na dada yake mmoja na shemeji yake kweli wakatoka na picha nikatumiwa (naishi mkoa tofauti na alipo)
Ilipofika saa 6 hivi akanipigia akanambia wapo club simu ikakata. Nikaja kumpigia baada ya kama Dk. 10 akapokea simu mwanamke akanambia Kwa nn nampigia bwanake simu usiku huo. Simu ikakatwa
Baada ya Dk. 20 jamaa anapiga namuuliza umempa nani simu yako anashangaa na kuwauliza Dadaake na shemeji yake kuna mtu kapokea simu yangu (nasikia wanajibu hatujapokea)
Tumegombana hapo ila sauti ya mwanamke nikagundua ni shemeji yake (mke wa Kaka yake) aliyepokea simu lafudhi yake maana siyo mwafrika
Tumeongea hapo wee akanambia anataka awapige apo washalewa wote nikamwambia achana nao rudini nyumbani
Toka hiyo jana simu haipatikani hadi sasa
#Nnachoomba ushauri nimuache huyu Kijana au niwe nae kwa starehe tu maana ndo amefocus huko kwenye starehe sana
Najua hapa akiwasha simu ataanza kulia ila haya mapenzi siyawezi kabisa wakubwa nishaurini nifanye nini
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama huna sababu ya msingi kumuacha usimuache, kama hakuna sababu ya msingi kuendelea nae usiendelee nae.Habari za jumamosi wakuu