Nisaidieni wakuu

Pole pole ndo changamoto za mahusiano.
 
umukagame hebu acha kulia lia,,, njoo kwangu achana na huyo pasua kchwa

NB:uwe mtu unaependa issue za biashara na siyo kuwaza mapenz mda wote.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
The issues siyo mabaharia, tatizo ni moyo


Sent from my iPhone using JamiiForums
moyo si unao wako, ule wake muachie kabla na moyo nao haujafa ganzi unaujazia mwili sumu za kujitakia bure na wanaume wapo wengi
 

Kama angeoa ingekuwa bora zaidi kwangu



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
YaweZekana wewe una muhitaji kuliko yeye anavyokuhitaji. Daaaah kama nakuona vile pole sana mpendwa Em move on mama.
Yanini uhangaike na mahusiano yasiyo na uhusiano?

Ananihitaji pia najua lakini



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Samahani sana mnaonifata pm am not available kwa sasa naomba sana kama una ushauri nishauri hapa. Asanteni


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hujawahi kupenda wewe.

God save us
 
Sasa hapo tukushauri nini bibie! Kila kitu kipo wazi, sema na nafsi yako! Ikiwa unaweza tabu kaa, ikiwa unaamini anaweza kubadilika mpe muda, ikiwa unaona miyeyusho endelea na maisha mengine km yeye sio wa kwanza hawez kuwa wa mwisho! Uraiani wapo raia kibao wanaoweza kukupa penzi stahiki!

Kusoma uzi wako ikanibidi nichungulie umejiunga lini na una umri gani!! Dada yangu una miaka 29 lakini naona ulichokiandika hapa alipaswa aandike wa miaka 20 hivi. Samahani km nitakuwa nimekukwaza!

Changanya zako na ya kuelezwa ukweli uwe mchungu kumeza, na uwe mtamu kutema.

Sitaki kuamini akili yako haijakupa jibu sahihi, ila wewe unataka kuuendekeza moyo wako!

Ngoja nimalizie chai yangu na kitumbua hapa kwa mama atupele( kula ujaze tumbo restaurant )
 

Daah Kwahiyo hata Mimi huwezi kunililia fresh Tu
 
Akiambukizwa corona utakutafuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani sana mnaonifata pm am not available kwa sasa naomba sana kama una ushauri nishauri hapa. Asanteni


Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwa hiyo wapo vijana tayari kuchukua nafasi? Dah vijana wana haraka sana!!!
 
Pole sana big cc...mapenzi sometimes yanazingua mno tena sanaaa...ukiyashupalia unaweza ukapusuka mishipa ya shingo...wewe hiyo mwana nenda naye aste aste...kama unajua unawivu wa kupitiliza jiandae kupata corona ya mapenzi...
Kama haumuelewi paki pembeni wacha madanga yafanye kazi yao..ila swali la kujiuliza unaweza kusonga bila yeye...usije ukatuletea mabandiko mengine ooohh maisha yamenishinda oohh kila mwanaume ananifanyia visa....jambo la kujua wanaume wote wamezaliwa wala hawajashushwa kutoka mbinguni...ukileta malalamiko mi nitakutakia R.I.P tu...

Haya amka ukanywe chai nzito...nenda kaoge...tafuta shoga yako mpenda umbea mkajazane sumu...mwishowe siku imeisha...akirudi huyo jamaa...mpe sex tamu mpaka astaajabu...

Ovaaaaaaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…