Kama uko kwenye mahusiano hujui yanahusiana na nini achana nayoHabari za jumamosi wakuu
Nikiwa bado miguu imekufa ganzi nimeshindwa kutoka kitandani namuwaza huyu mwanaume wangu ambaye nilishaweka bandiko hapa kwa ajili yake.
Jana aliniaga anatoka na dada yake mmoja na shemeji yake kweli wakatoka na picha nikatumiwa (naishi mkoa tofauti na alipo)
Ilipofika saa 6 hivi akanipigia akanambia wapo club simu ikakata. Nikaja kumpigia baada ya kama Dk. 10 akapokea simu mwanamke akanambia Kwa nn nampigia bwanake simu usiku huo. Simu ikakatwa
Baada ya Dk. 20 jamaa anapiga namuuliza umempa nani simu yako anashangaa na kuwauliza Dadaake na shemeji yake kuna mtu kapokea simu yangu (nasikia wanajibu hatujapokea)
Tumegombana hapo ila sauti ya mwanamke nikagundua ni shemeji yake (mke wa Kaka yake) aliyepokea simu lafudhi yake maana siyo mwafrika
Tumeongea hapo wee akanambia anataka awapige apo washalewa wote nikamwambia achana nao rudini nyumbani
Toka hiyo jana simu haipatikani hadi sasa [emoji38]
#Nnachoomba ushauri nimuache huyu Kijana au niwe nae kwa starehe tu maana ndo amefocus huko kwenye starehe sana
Najua hapa akiwasha simu ataanza kulia ila haya mapenzi siyawezi kabisa wakubwa nishaurini nifanye nini
Sent from my iPhone using JamiiForums
Fimbo ya mbali haiui nyoka ,,acha kupoteza mda mwanamke ,kwani huko ulipo hakuna mabaharia?
Sent using Jamii Forums mobile app
The issues siyo mabaharia, tatizo ni moyo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndiyo ukausikilize huo moyo.The issues siyo mabaharia, tatizo ni moyo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kuna wakati watu wanakuwa si wao etiiiii (najua sijaeleweka).I feel you madam....sometimes moyo haukubaliani na maamuzi
Lakini inafika muda unatakiwa uuforce ili kuepuka maumivu yenye muendelezo
Halafu hiyo idea ya kumtumia kwa starehe utakuwa unajiongopea tu...huwezi!!!ni either uachane nae ama uendelee kuumia kama hivi
Pole
Hapo mwisho umesema unajua yupo kwa starehe na ukauliza vipi uwe naye kwa starehe. Mwisho ukajibu kuwa mapenzi ya hivi huyawezi.
Unaomba ushauri wa namna ya kupata mpenzi mwingine au ushauri wa style ya kuachana nae.
I feel you madam....sometimes moyo haukubaliani na maamuzi
Lakini inafika muda unatakiwa uuforce ili kuepuka maumivu yenye muendelezo
Halafu hiyo idea ya kumtumia kwa starehe utakuwa unajiongopea tu...huwezi!!!ni either uachane nae ama uendelee kuumia kama hivi
Pole
Hapo mwisho umesema unajua yupo kwa starehe na ukauliza vipi uwe naye kwa starehe. Mwisho ukajibu kuwa mapenzi ya hivi huyawezi.
Unaomba ushauri wa namna ya kupata mpenzi mwingine au ushauri wa style ya kuachana nae.
Jinsi ya kuachana nae [emoji24][emoji24]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Daaaah kama nakuona vile pole sana mpendwaDah nimelia sana sijui kwa nini mapenzi yapo hivi ila nimekuelewa my dia Asante
Sent from my iPhone using JamiiForums
Em move on mama.Nahisi hata sielewi ninaandika nini kiongozi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Jiraniii weehAchana nae huyo njoo kwangu...
Oooh good morning my neighbour?Jiraniii weeh