Mbwitombwito
Member
- Nov 9, 2016
- 19
- 6
Salaam Wakuu
Kwa muda mrefu baada ya shambulio la ugaidi la septemba 2001, neno ugaidi limekuwa ndio habari ya mjini, huku walengwa wa kushukiwa na ugaidi wakiwa ni waumini wa dini fulani wenye majina ya dini fulani.
N
Hapa JF, ni kisima cha maarifa na watu tofauti tofauti wapo humu. Kwa heshima, nawaombeni mnijuze yafuatayo:
1. Nini maana ya neno Ugaidi?
2. Sifa za Gaidi ni zipi?
3. Nani walengwa wa ugaidi?
Maana tuendako, mtu unaweza kuchukizana na mtu fulani kwa jambo la kawida tu, then akakuchomekea kuwa wewe ni GAIDI.
Nawasilisha