kuna mtu alinambia ktk maisha mtu usithubutu kuingia kwenye ndoa na mtu usiyempenda,hivi inakuwaje iwapo umtakaye haji ila unapata tu usiowapenda na muda waenda,je kuna tatizo wandugu?naombeni mawazo yenu

Hivi wadau ni watu gani?, me huwa nawaskiaskia tu....?
Stakeholders...
mtihani hapokosea mke wa kuoa uone ugumu wa maisha
Hivi wadau ni watu gani?, me huwa nawaskiaskia tu....?
Mungu atusaidie kwakweli maana hatariKati ya Ndoa zinazofungwa ni chache sana ambazo kuna Kupendana Mapenzi ya dhati kwa wote wawili na ni bahati sana kuipata , Ndoa nyingi Binaadamu wanaoa na kuolewa kwa sababu ya .............tofauti tofauti kama uhakika wa Maisha , Umri unaenda , Baba kasema , Kwao Mboga saba nk