nisaidieni wadau

dhk1

JF-Expert Member
Jul 22, 2013
915
532
habari zenu wadau,
Nina mwanangu umri mwaka 1miezi8 ambapo ameanzisha mfumo mpya wa chakula. Anaamka saa kumi na moja na nilazama ale ukimpa vya watoto hataki kabisa anataka kipora hadi saiv imekuwa routine yake.
Je ni sahii mtoto km huyu kula kiporo au itamdhuru kiafya?

natanguliza shukrani kwa wadau
 
  • Ni jambo jema kwa mtoto kupenda kula
  • Fanya jitihada za kukiandaa vyema hicho kiporo, ili asijapata tatizo la tumbo, pindi atakapo kula unampatia
Kumbuka katika umri huo vyakula vile vya watoto unapaswa kupunguza [sio kuacha kumpa] na kumzoesha vyakula vya kawaida, sababu majitaji ya mwili yanaongezeka kadri anavyo kuwa.
 
Njaa ina msumbua. Siyo utaratibu mzuri kijizoesha namna hiyo. Inachotakiwa ni kuhakikisha mchana kutwa amekula vizuri na udiku anakula vizuri.
 
Njaa ina msumbua. Siyo utaratibu mzuri kijizoesha namna hiyo. Inachotakiwa ni kuhakikisha mchana kutwa amekula vizuri na udiku anakula vizuri.
mchana anakula vya kutosha na usiku huwa Nampa chakula saa moja na pia saa nne ucku!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom