Mr Suprize
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 877
- 981
tatizo dogo sana ilo.. tafuta driver pack itaweka missing driver zote zinazomiss na matatizo yote yatakishwa ..Wakuu nmenunua pc mpya dukan lakn cha ajabu nikiweka device km flash,cardreader,modem na USB hazisom kwenye pc tatzo ni nini hapo,?
KUMBUKA: PC yangu Haina Wi-Fi kwa hyo nategemea modem ili niweze kuacces internet
Izo problem za biult-in windowslaptop zinazotoka miaka hii haswa hp ikiwa na windows 8 ukibadili na kuweka 7 inakuwa na matatizo kama hayo hata uweke driver pack ni kazi bure na ukienda kwenye bios hakuna usb mode uwezi kuenable wala 0kidisable rudisha windows 8 au weka windows p10 ndo ufumbuzi wa haraka mi niko nayo na nimeshaona jamaa wengi wakilia na tatizo kama lako
Izo problem za biult-in windows
that's businessNi matatizo ya kudowngrade hata mwaka 2009 pc iliyokuja na windows 7 ukaeka windows XP ingekua na matatizo ya kumiss driver.
Watengeneza pc kina Lenovo, hp, dell, Intel na watengeneza vitu vya ndani wao ndio wanaotengeneza driver pia. So usitegemee waajiri watu wacode driver kuanzia windows za zamani kwao haina faida, zikitoka pc mpya driver za zamani hawazisuport tena
PC mpya haina wifi?
Wacha porojo.
Ukweli ni hivi sijawahi nunua used laptop kwa maana najua zina matatizo..Hata kama pesa haitoshi nitasubiri mpaka itakapo kamilika..mpaka sasa nimenunua 3 na nikiona zinazingua nauza mapemaaa...zote hizo 3 sijawahi kukuta laptop ina missing drivers labda nikiconnect kwenye Net idai kuupdate tu..na kampuni nilipendelea ni Sony Dell na Mac😛oasio kweli bwana smokey
sio kweli, sikuzungumzii wewe kuwa unanunua pc used au mpya ilo mi haliniusu.. ninachosemea mm sio kweli kwamba pc mpya et haitakiwi kumiss some drivers, nimeshuhudia zaidi ya watu wa 5 wamenunua pc mpya dukani na box lake kabisa ila zikawa zina miss drivers unless wakuwekee palepale izo accessories zote wenyewe mfano drivers ant virus sijui adobe microsoft na takataka nyinginezo.. are we clear???Ukweli ni hivi sijawahi nunua used laptop kwa maana najua zina matatizo..Hata kama pesa haitoshi nitasubiri mpaka itakapo kamilika..mpaka sasa nimenunua 3 na nikiona zinazingua nauza mapemaaa...zote hizo 3 sijawahi kukuta laptop ina missing drivers labda nikiconnect kwenye Net idai kuupdate tu..na kampuni nilipendelea ni Sony Dell na Mac😛oa
sio kweli, sikuzungumzii wewe kuwa unanunua pc used au mpya ilo mi haliniusu.. ninachosemea mm sio kweli kwamba pc mpya et haitakiwi kumiss some drivers, nimeshuhudia zaidi ya watu wa 5 wamenunua pc mpya dukani na box lake kabisa ila zikawa zina miss drivers unless wakuwekee palepale izo accessories zote wenyewe mfano drivers ant virus sijui adobe microsoft na takataka nyinginezo.. are we clear???
tool unayo maanisha hapo ni kama vile vijitabu ama tool za aina gani? maana nilinunua pc kulikua nakikaratasi kinasema "NO OPERATING SYSTEM INCLUDED" or other pre-installed, ndo nkajiwekea mwenyewe home,,, uyu Smokey naona huwa anaongezaga ela awekewe kila kitu pale pale ndo maana hakutani na izi issue zaidi ya kusema "pc yako umenunua used"Hizo Ni pc zinazokuja na Dos, wafanya biashara wetu wanaleta uhuni wanazinunua bila windows halafu windows wanazi piracy (wanaiba) then wanakuuzia bei sawa na pc yenye windows (wapate faida kubwa)
Ila pc inayokuja na windows itakuwa na driver tayari au watakupa cd ya driver au kutakuwa na tool ndani ya pc itakayokuguide kueka hizo driver hawawezi kukuacha hv hv
tool unayo maanisha hapo ni kama vile vijitabu ama tool za aina gani? maana nilinunua pc kulikua nakikaratasi kinasema "NO OPERATING SYSTEM INCLUDED" or other pre-installed, ndo nkajiwekea mwenyewe home,,, uyu Smokey naona huwa anaongezaga ela awekewe kila kitu pale pale ndo maana hakutani na izi issue zaidi ya kusema "pc yako umenunua used"
sio kweli, sikuzungumzii wewe kuwa unanunua pc used au mpya ilo mi haliniusu.. ninachosemea mm sio kweli kwamba pc mpya et haitakiwi kumiss some drivers, nimeshuhudia zaidi ya watu wa 5 wamenunua pc mpya dukani na box lake kabisa ila zikawa zina miss drivers unless wakuwekee palepale izo accessories zote wenyewe mfano drivers ant virus sijui adobe microsoft na takataka nyinginezo.. are we clear???
Nadhani Chief-Mkwawa kanisaidia kujibu swali lako Avatar mok..Sema tena "SI KWELI"Hizo Ni pc zinazokuja na Dos, wafanya biashara wetu wanaleta uhuni wanazinunua bila windows halafu windows wanazi piracy (wanaiba) then wanakuuzia bei sawa na pc yenye windows (wapate faida kubwa)
Ila pc inayokuja na windows itakuwa na driver tayari au watakupa cd ya driver au kutakuwa na tool ndani ya pc itakayokuguide kueka hizo driver hawawezi kukuacha hv hv