Violet
Member
- Nov 17, 2008
- 99
- 4
Ni kweli elimu ni bure ila sio rahisi kama inavyosikika. Kwa European citizen wenyewe, hauruhusiwi kuhama tuu kwenda kusoma, unatakiwa uende kukaa kwanza nafikiri 1 year upige mzigio kwanza ndio uanze kusoma( hii ilikuwa 3 yrs ago) Nakushauri tafuta scholarship. Na wana internet site yao, nimejaribu kuipata nimeshindwa.