Nisaidieni nipate shule SCANDINAVIAN COUNTRIES | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nisaidieni nipate shule SCANDINAVIAN COUNTRIES

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Lwikunulo, Jan 28, 2009.

 1. L

  Lwikunulo Senior Member

  #1
  Jan 28, 2009
  Joined: Jun 1, 2007
  Messages: 114
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wajameni,

  Niko desparate sana kupata chuo kinachotoa PhD in Economics & Finance preferrably katika vyuo vya nchi za Scandinavia na USA. Nafahamu inahitaji kutafuta sana kwenye internet, lakini najua mlioko huko na wale mliopitia vyuo huko mtakua na information za kunirahisishia namna ya kupata admission kirahisi. Nahitaji ku-join mwaka huu.

  Nategemea msaada wenu....
   
 2. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2009
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,281
  Likes Received: 4,286
  Trophy Points: 280
  Tafuta thread ya Scholarship au wasiliana na Mexence Melo
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hii kali kumbe Max hutoa scholarship? Dogo check NUFFIC na Fullbright Scholarships ila uwe na proposal mkononi maana kuna competition sana.

  Good lucky
   
 4. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Labla sijamuelewa yeye anataka Scholarship? au chuo ili apate admission?, Lukwu hebu fafanua zaidi kuhusu hilo, wewe unataka admission au scholarship, maana naona kama mimi au wengine wamekuelwa ndivyo sivyo.
   
 5. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kupata admission sio noma, kaaazi karo...
   
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  Jan 28, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Sweden elimu ni bure, tatizo living expenses. Na nchi kadhaa za huko ni hivyo hivyo.
   
 7. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #7
  Jan 28, 2009
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Kuna dogo mmoja anaitwa Makumilo anablog yake ambayo ukusanya hizo scholarships info(zikiwemo za PhD). Just google jina lake tapata link ya blog yake. He is currently studying in U.S under Fulbright Program.
   
 8. Himawari

  Himawari JF-Expert Member

  #8
  Jan 28, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 2,189
  Likes Received: 682
  Trophy Points: 280
  Pitia hapa iBlog (blog ya Subira) utapata info za scholarships katika vyuo mbali mbali duniani. Natumaini itakusadia.
   
 9. L

  Lwikunulo Senior Member

  #9
  Jan 28, 2009
  Joined: Jun 1, 2007
  Messages: 114
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwa ufupi ni kwamba nahitaji msaada wa namna ya kupata admission kwa urahisi na haraka kwani mwajiri wangu ameniruhusu nianze masomo ikiwezekana mwaka huu. Nimechelewa kuanza kutafuta ndio maana naomba msaada ili nisipoteze muda mwingi kutafuta wakati kuna watalaamu kibao wenye useful info hapa.

  Najua nchi za Scandinavian vyuo vingi (kama si vyote) hawacharge tuition fees. Kwa USA tuition fee ni kwa kwenda mbele. In short nataka ushauri wa namna ya kupata admission kwani scholarship naweza kutafuta provided nimepata admission.
   
 10. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #10
  Jan 28, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Tembelea MAKULILO Jr , kwenye blog hii Makulilo anaweka scholarships nyingi.
  Unaweza pia ukawasiliana nae kupitia msauzi101@yahoo.com


  Pia cheki na dada Subi kupitia Home

  Best of Luck!

  Bel.
   
 11. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #11
  Jan 28, 2009
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
 12. Black Jesus

  Black Jesus JF-Expert Member

  #12
  Jan 28, 2009
  Joined: Mar 7, 2008
  Messages: 254
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hapa sheria hiyo inabdilika kama sikosei mwaka huu au mwakani
   
 13. Katoma

  Katoma Senior Member

  #13
  Jan 28, 2009
  Joined: Mar 11, 2008
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama ni PhD inabidi ufanye fasta, kwani most application deadline zilikuwa Dec/Jan. This is for foreign students. Kama tatizo ni admission, just visit respective schools na angalia program zao. Sidhani kama kuna kitu kama admission ya kirahisi for a PhD... Ila Sweden - angalia Goteburg, Stockholm Uni, Uppsala etc
   
 14. Economist

  Economist Member

  #14
  Jan 29, 2009
  Joined: Dec 25, 2008
  Messages: 27
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
 15. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #15
  Jan 29, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mkuu umelenga..

  Nilitaka kusema kitu hicho hicho, lakini nikaminya ili nisimkatishe tamaa mdau..labda tutegemee atafanikiwa kupata mwaka hu, ingawa sidhani kama inawezekana.
   
 16. N

  Ngereja JF-Expert Member

  #16
  Jan 31, 2009
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 796
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
 17. Kaka Mkubwa

  Kaka Mkubwa Senior Member

  #17
  Feb 6, 2009
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 154
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Keep waiting!!!! Et change will come.you have make change by find out solution, of your problem.then u will be proud of ur'self.
   
 18. Kaka Mkubwa

  Kaka Mkubwa Senior Member

  #18
  Feb 6, 2009
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 154
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Keep waiting!!!! Et change will come.you have to make change by find out solution, of your problem.then u will be proud of ur'self.
   
 19. Mwanamalundi

  Mwanamalundi JF-Expert Member

  #19
  Feb 6, 2009
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 3,034
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  Mzumbe university tunaweza kukusaidia katika hili. Huna haja ya kwenda ng'ambo. Wasiliana na Idara Husika
   
 20. L

  Lwikunulo Senior Member

  #20
  Feb 7, 2009
  Joined: Jun 1, 2007
  Messages: 114
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wakuu,

  Nashukuru sana kwa maoni na mawazo yenu ambayo kwa kweli ni very very useful! Nitayafanyia kazi. Ila nime'note' kitu kimoja kwamba ningeomba msaada huu mapema ningefaidika zaidi kwani admission kibao ninazofuatilia deadline imepita. All the same your advice has added value in my endeavor towards securing admission to the program. Kwa mwenye info zaidi pls keep them coming....


  KAKA MKUBWA, ulitaka kusema nini hapo? ..sijakupata sawia mazee :confused:
   
  Last edited: Feb 7, 2009
Loading...