Nisaidieni nimeibiwa simu

Kwa kiswahili na Mimi nielewe
 
okay,kikubwa Ni kuwa na Imei no ambayo inakua na namba 15(digits) imei inaoatikana kwa kupiga *#06#
ukishaipata ihifadhi sehem ambayo niwewe Tu unaweza kuipata.ukiibiwa simu utatuma email kwenda cop@vsnl.net
ukiweka taarifa zako muhim Kama
jina....
anuan...
aina ya simu...
simu ilipotengenezwa.....
namba ya mwisho uliyoipigia....
email yako....
tarehe ambayo simu ilipotea.....
IMEI no.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…