long distance
Member
- Mar 23, 2018
- 24
- 12
Nilikuwa. Nauliza vigezo vya kujiunga. Na diploma ya sheria kutokea ya O level
ukipata vigezo tuwasiliane kuhusu vitabu vya kusoma. consult vyuo vya sheria vinavyotoa diploma alafu angalia vigezo tu. IJA lushoto, jordan etc.Nilikuwa. Nauliza vigezo vya kujiunga. Na diploma ya sheria kutokea ya O level