:smiling: You made my day dude..Hiyo ndoto inamaanisha kuwa 'Mgombea urais unayempenda atakufa ghafla!'
ndoto hiyo inamaanisha wewe utakufa tarehe 30 mwezi huu kuamkia tarehe 31,pia kama alivyosema mdau mgombea urais umpendae atakufa kabla ya masaa mawili ya kuanza kupiga kura,na chama ukipendacho kitakufa kifo cha kawaida mara tu baada ya tarehe ya uchaguzi kupita,tena kifo kibaya kuliko kile cha nccr!! Jiandae kwa mazishi yako mwenyewe!