Nisaidieni namna na maana ya ku root simu

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
278
Wakuu wazoefu wa maswala ya simu naombeni msaada wenu nikikuwa nainstall proglam moja kwenye simu yangu ya samsung gallaxy ace 5830i ila nilipokwenda kuifungua ikaniambia your phone not rooted sasa sijajua nitairoot vipi simu yangu?
 
1.ANGALIZO:: FUATA MAELEZO HAYA AT YOUR OWN RISK IKITOKEA UMEHARIBU SIMU YAKO SITO KUA NA HATIA YEYOTE.
2.jia hii inafanya kazi kwa Samsung Galaxy Ace i5830 pekee mtu mwenye simu aina nyingine tafadhari usijaribu.

1. Download attached file upd_1.zip kisha liweke katika memory card
sdcard
2.zima simu yako
3. Bonyeza button ya nenu kisha bonyeza button ya kuwashia simu(usiachie mpaka simu iwake) 3.Chagua opptio ilio andikwa Update from SD Card kwa kutumia
volume button ku navigate na home button ku select highlighted item.
4. subiri process imalize ku update.
5. ikimaliza select reboot now.

hapo utakua umefanikiwa ku root simu yako
 
Attachments

kuroot simu za android ni kujipa uwezo zaidi juu ya simu yako (kama ku log in kama administrator kwenye windows), ila kuroot ni risky na ukikosea unaweza *brick* ur phone, so ningekushauri usome zaidi kuhusu hili jambo kabla hujajaribu
as always,
Leh_zpscbe4b466.png
 
Hili ni jambo muhimu sana kila kwa kuzingatia kua kila aina ya simu ina rooting method yake na inaweza leta matagizo na kusababisha kuharibu(Brick) simu. watu wote gunatakiwa kua makini sana linapo kuja suala la kuroot simu
 
mkuu mbona sikuoni whatsapp? na una droid gani? tuambizane
:A S tongue: :A S tongue:

na cha msingi kuliko vyote!! yaani a MUST DO B4 ATTEMPTING TO ROOT ANY DROID ni..
​
image518_zps1e9872be.png
 
mkuu mbona sikuoni whatsapp? na una droid gani? tuambizane
:A S tongue: :A S tongue:

na cha msingi kuliko vyote!! yaani a MUST DO B4 ATTEMPTING TO ROOT ANY DROID ni..
​
http://cdn.howtogeek.com/wp-content/uploads/2012/05/image518.png
Nipo online 24/7 mkuu Now niko na Moto RAZR Maxx (Unrooted)Mkuu Nili i-Brick once ikabidi ni i reset with fastboot, then nika lost root permission and No any root Method for this thing running Jelly Bean
 
duh, kitu RAZR Maxx, naona wivu niaje. nipo on a bb, ila leo au kesho nitakuwa on an xperia x10 au x8. na JB lazima tutakutana. naomba screenshot, na hamu sana na hiyo JB. pole kwa yaliyokukuta ila kama uliweza kuirestore ni bora kuliko kuwa na a very expensive jiwe. hahaha
 
1.ANGALIZO:: FUATA MAELEZO HAYA AT YOUR OWN RISK IKITOKEA UMEHARIBU SIMU YAKO SITO KUA NA HATIA YEYOTE.
2.jia hii inafanya kazi kwa Samsung Galaxy Ace i5830 pekee mtu mwenye simu aina nyingine tafadhari usijaribu.

1. Download attached file upd_1.zip kisha liweke katika memory card
sdcard
2.zima simu yako
3. Bonyeza button ya nenu kisha bonyeza button ya kuwashia simu(usiachie mpaka simu iwake) 3.Chagua opptio ilio andikwa Update from SD Card kwa kutumia
volume button ku navigate na home button ku select highlighted item.
4. subiri process imalize ku update.
5. ikimaliza select reboot now.

hapo utakua umefanikiwa ku root simu yako

Mkuu kitufe cha menu kitakuwa kipi? Maana hapa kuna button moja tu hizi nyingine hadi simu iwake ndio zinatokea,pia inatakiwa hiyo sd card isiwe imehifadhiwa vitu vingine zaidi ndani yake tofauti na hiyo niliyoidownload na kuisave humo?
Msaada wako tafadhali.
 
SASA MNATOA SOLUTION HALAFU MNATOA NA VITISHO KIBAO.. Sasa nani atafanya hayo mnayosema

Mpe mtu warning si vitisho kila post
 
sorry nilitoka jamvini kidogo.
1. Home button ni hiyo physical Button iliyo chini ya kioo
2. Hai hitaji kufuta vitu vilivyoko kwenye memory card. Pia ni muhimu hilo file lisiwe ndani ya folder lolote yaani liwe juu kabisa.
 
Sio vitisho mkuu ni tahadhar tu, ndio maana leh hapo juu kasema inapaswa mtu kujua nini unafanya na ni muhimu kiasi gani ku root simu yako
 
sorry nilitoka jamvini kidogo.
1. Home button ni hiyo physical Button iliyo chini ya kioo
2. Hai hitaji kufuta vitu vilivyoko kwenye memory card. Pia ni muhimu hilo file lisiwe ndani ya folder lolote yaani liwe juu kabisa.

Asante mkuu kwa maelekezo yako ngoja nifike nyumbani niishughulikie kisha nitarudi hapa na hatua niliyoifikia
 
1.ANGALIZO:: FUATA MAELEZO HAYA AT YOUR OWN RISK IKITOKEA UMEHARIBU SIMU YAKO SITO KUA NA HATIA YEYOTE.
2.jia hii inafanya kazi kwa Samsung Galaxy Ace i5830 pekee mtu mwenye simu aina nyingine tafadhari usijaribu.

1. Download attached file upd_1.zip kisha liweke katika memory card
sdcard
2.zima simu yako
3. Bonyeza button ya nenu kisha bonyeza button ya kuwashia simu(usiachie mpaka simu iwake) 3.Chagua opptio ilio andikwa Update from SD Card kwa kutumia
volume button ku navigate na home button ku select highlighted item.
4. subiri process imalize ku update.
5. ikimaliza select reboot now.

hapo utakua umefanikiwa ku root simu yako

Nimefuata maelekezo yako mkuu yamenifikisha hapa:
Reboot systeam now
*apply update from sdcard
Wipe data/factory reset
Wipe cache partition
Baada ya kuingia hapo nilipoweka alama ya nyota iliniletea ujumbe wa
Installation aborted
Error in /tmp/sideload/package zip
Na maandishi mengi niliyoshindwa kuyaelewa,msaada wako tafadhali.
 
sijui what went wrong lakini nimesha root simu za galaxy ace 5830i kama 4 kwa njia hiyo. kwani uko kstika version ipi ya android?? may be unatumia different Android version.

jaribu pitia uzi huu toka xda- developers unaweza saidia.
Root,Unroot,CWM,and how to Flash Galaxy Ace S5830i - xda-developers
 
mie naona bora ingia youtube and ask how to root da samsung...... na ziko video nyingi tu zitakusaidia
 
Shida sio video mkuu shida ni file la ku update.
 
Back
Top Bottom