Nisaidieni nakonda

Huu labda ni woga wa kutongoza?? Unamngoja mtu asiyekua na taim na wewe??
Hujawahi kupenda wewe.Tatizo sio kutongoza,REAL love.
Cha muhimu nu kupata ushauri jinsi ya kumtoa moyoni na kuanza maisha upya.Na zaidi sana mwombe Mungu akuelekeze nini cha kufanya hasa kipindi hiki umechanganyikiwa na mapenzi
 
ZD, love is a two way traffic....ikiwa ni one way unashauriwa kusepa! Hii ya one way mi siiti 'love' ina any color...its simply an obsession.
 
........Mimi nina mashaka na upendo wa huyo msichana kwako, kipindi alivyokuwa secondary kweli mapenzi yangemchanganya na masomo.
Ila sasa hivi yupo chuo na haonyeshi dalili yoyote ya upendo kwako............mhhhhhhhhhhh!! Shtuka hapo mkaka isijekuwa ana mtu mwingine wewe anakuyeyusha tu maana ndio zetu baadhi ya wasichana.

Hivyo wewe unaweza kumjua vizuri kama kweli anakupenda ila masomo ya chuo ndio kikwazo au hata dalili ya kukupenda hana ila anakupiga tarehe tu.

Pretty, kuna watu wana vichwa vya panzi, yaani wakichanganya mambo tu wameharibu. Inawezekana kabisa huyo dada amejifunza toka kwenye past relationship na amegundua kuwa huyo pia akimpiga buti basi kila kitu kimeharibika. Unajua inafikia kipindi inabidi kujua kitu gani kina manufaa zaidi kwako.
Nimeshuhudia wadada wengi tu vyuoni wakifeli sababu ya mapenzi. na kama yeye ndo anasema ukoo mzima unamtegemea, na usikute ukoo wote wanachangishana angalau kumfikisha hapo alipo, inabidi a-analyse mara kadhaa cost-benefit ya kujiingiza kwenye mapenzi akiwa shule.
Mramba, ushauri wangu kwako ni kuwa ongea naye ili ujue msimamo wake kwako. mwulize kama atapenda kuwa nawe atakapomaliza shule yako au kama hakupendi basi akuambie ili usiwe unamsubiri mtu ambaye hakupendi.
 
Bwana Mramba usikatishwe tamaa na watu, nafikiri kuleta mada hii ni kwamba umemsoma na kujua dhumuni lake kuwa anakupenda au la. Maana muda wote huo toka secondary hadi chuo sasa hana mtu mwingine, hivyo inawezekana ni kweli anakupenda lakini kutokana na malezi au dini yake hataki kufanya anasa maana bila shaka akikukubalia sasa unaweza kuomba ngono na yeye huenda hataki kufanya uasherati. Mimi ninashauri ukae naye kama una wasiwasi uongee naye akupe uhakika then vumilia amalize masomo yake. Mimi naongea kwa uzoefu kwani mke wangu tulikuwa marafiki kwa kipindi cha miaka 15 cha kumsubiri na sasa tumeoana na tunawatoto watatu na tunaishi maisha ya familia ya furaha tele. Vumilia ndugu yangu usiwe na pupa.
 
ZD, love is a two way traffic....ikiwa ni one way unashauriwa kusepa! Hii ya one way mi siiti 'love' ina any color...its simply an obsession.
I agree with u 100%,lakini uhodari wa kutongoza hata kama hamna mapenzi hiyo ndio nakataa.Kung'ang'ania mtu au kumpenda haina maana anaogopa kutongoza wengine.
 
I agree with u 100%,lakini uhodari wa kutongoza hata kama hamna mapenzi hiyo ndio nakataa.Kung'ang'ania mtu au kumpenda haina maana anaogopa kutongoza wengine.
Katika kesi hii ndivyo nilivyohisi (ndo maana nilisema labda)....kwamba jamaa hapendwi halafu hataki kungalia pembeni kwa miaka nenda rudi.....:mad2:...simply sio kupenda huku!
 
kwa lugha ya mtaani. Anza mbele usijekuwa unapoteza muda wapo naona hapo mapenzi hakuna. Sasa ukija kumuoa halafu siku akakuambia 'kwanza nilikuwa sikupendi' utafanya nini?. Si watu wanoana kutokana na kupendana na siyo mmoja kumuonea huruma mwingine? sasa wewe unataka akuonee huruma?Tembea kifua mbele achana na ndoto na endelea na maisha.
 
Katika kesi hii ndivyo nilivyohisi (ndo maana nilisema labda)....kwamba jamaa hapendwi halafu hataki kungalia pembeni kwa miaka nenda rudi.....:mad2:...simply sio kupenda huku!
Nimekupata RR,Nadhani na muhusika amepata ujumbe.Ataangalia pembeni sasa.
 
Siyo kwamba naogopa kutongoza wajameni.
Suala ni kwamba huyo binti simuelewi na ndo maana nikaomba ushauri. Kuna wakati namkaushia kimya bila msg wala, piga wala hata kubip. Yeye atanitafuta either kwa kupiga au kwa msg na maneno yake ni kaka yangu nimeona nikusalimu upo kimya mno na blaa blaa nyingi kibao wakati mwingine nafikiri ananipenda ila anashindwa kunipa ukweli kwa kuhofia mambo fulani anayoyadhania yeye. Nimeshamwambia mimi ukaka sitaki nataka upenzi anajifanya hanielewi kwa kushikilia msimamo wake wa kusema subiri nimalize chuo hata kutoa jibu la kusema nakupenda au sikupendi hasemi. Anadai hana mwanaume na roho yake haijamtuma kufikiri kufanya hivyo bado. Nimeshazungumza naye hata kumkalisha masaa kibao lakini msimamo ni huohuo haubadiliki.
Na kinachonitia moyo ni kwamba ninapopanga appointment naye huwa anakuja na ndugu zake tunakaa kwa muda kidogo halafu ndugu anaondoka anatuacha wawili "sasa najiuliza huyu ndugu kaja kunithaminisha kama bidhaa dukani au ndo kaja kutambulishwa" sielewi
 
Sasa mkuu hapa unachanganya mambo....wewe unaemjua humwelewi....sasa sisi tusiomjua tutamwelewa kweli??Hujafanya homework yako ipasavyo...
 
mimi nishamweleza kwamba masuala ya ngono hata imani yangu yenyewe hainiruhusu ila hatujafikia muafaka. Bado anadai vidonda vya jamaa wa kwanza aliyempa cha mbavu havijapona kiasi cha kuwaamini wanaume tena. Zaidi na la kunikatisha tamaa anadai hajui amkubalie mwanaume wa aina gani ambaye atakuwa mwaminifu kwake asimtende tena. Eti bado anamwomba MUNGU sasa Mungu hamjibu siku zote hizo tu jamani
 
Mvumilivu hula mbivu,keep on kuvumilia,utazivuna mbivu muda si mrefu :A S 8::A S 8::A S 8::A S 8:

Huyu atavuna mbichi tu hakuna mbivu hapa hasa dunia ya sasa

Mimi yalinikuta enzi hizo ijapokuwa nilikaa naye kwa miaka minne then nikaambulia mbichi maumivu niliyopata kipindi hicho sitakaa nisahau

kaka shituka pls ujue hapo hupendwi
 
mimi nishamweleza kwamba masuala ya ngono hata imani yangu yenewe hainiruhusu ila hatujafikia muafaka. Bado anadai vidonda vya jamaa wa kwanza aliyempa cha mbavu havijapona kiasi cha kuwaamini wanaume tena. Zaidi na la kunikatisha tamaa anadai hajui amkubalie mwanaume wa aina gani ambaye atakuwa mwaminifu kwake asimtende tena. Eti bado anamwomba MUNGU sasa Mungu hamjibu siku zote hizo tu jamani

kwa muda wote huo ina maana na wewe ameona hufai pia.
 
Mkuu huyo anakuyeyusha tena hana mpango na wewe, lazima uwe mtu wa kutathmini mambo, mapenzi hayajawahi kuelezwa kuwa ndiyo chanzo pekee cha mtu kufeli, kinachotakiwa wewe uangalie ustaarabu mwingine, inavyoelekea wewe sio mzoefu wa haya mambo ila kwa hili lazima uangalie mwelekeo mwingine,ukizembea utaisulubu roho yako kwa kumpenda asiekupenda.:A S 8:
 
RR hujanipata ndugu....
Cyo kwamba simuelewi tabia zake na mwenendo wake! Ni kwamba sielewi anataka hatma iweje?!
Na mambo anayoyafanya kama nillivyoeleza mwanzo yananichanganya sijielewi kwamba napendwa hivyo nijipe moyo au la!
Zaidi, nifanye nini nimtoe moyoni iwapo kwa mtazamo wenu ni kwamba hanipendi kwa sababu nimemuweka moyono for more than four years inaniwia kazi sana kumsahau kabisa
 
Kijana una umri gani wewe?
 
kazi ipo.....
 
Nimekuelewa kaka....but it takes more than that to get to understand a lady...
Swali linabaki....unadhani sisi tunaweza kuelewa kwamba anakupenda ilhali wewe unayemfamu humwelewi? Fanya homework yako! Infact kama umekaa nae mda wote halafu hujamwelewa then hapaswi kuwa mkeo....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom