Nisaidieni modem yangu

Nisaidieni modem yangu

CHIKITITA

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
445
Reaction score
158
Naomba msaada kwa anayejua hili, kila nikiweka modem yangu kwenye pc imaniandikia "The sim card has not been detected or is invalid" lakin nikiangalia lini haina tatizo, je itakiwa modem imekufa? Ni modem ya voda Huawei
 
1. Modem yako ni aina gani?

2. Je ni universal kwamba waweza kutumia laini yeyote?

3. Je hapo awali ilikuwa ikifanya kazi vyema kwa laini ipi?

Lete majibu ya hayo maswali ili upewe msaada sahihi.
 
Ni modem ya vodacom ya Huawei, inatumia line ya vodacom tu, ilikuwa ikitumika vizuri hadi juzi nimeitumua ila jana usiku naiweka kwnye pc ndio ikanijibu hivo na nimejaribu hata asubuhi bado inaandika hivo
 
Back
Top Bottom