cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 323
- 1,128
I second you.Usiache kazi.
Jamaa aonyeshe jinsi gan yuko serious na hilo suala la kurudiana na ww
kwanza kwa kulea mtoto wake vizur.
-akuhudumie.
-kama umeridhia basi uwe unaenda for weekend kuonana nae.
-mwambie afuate taratibu za kupeleka Barua kwenu, mahar na atangaze ndoa
-mfunge Ndoa.
- Akupe mtaji wa biashara baada ya kufunga Ndoa .
Akifanya haya yote ndio unaweza kuacha kazi.
NB:
Ila mwanamke ukimzalisha hana ujanja, ndio maana wanaume weng hawatak Single mother , hamkawii kuuza game kwa baba mtoto .
acha ujinganilikuwa na mwanaume X tulibahatika kupata mtoto mmoja akaniacha akaoa mwanamke mwingine amekaa nae miaka minne hakumpelekea barua Wala mahali katika kuishi nae wakapata Tena mtoto,nilivyoona anaishi na mwanamke mwingine mimi nikaendelea na maisha yangu na nimepata ajira tofauti na eneo analoushi baba mtoto Sasa anaimba turudiane na nikirudiananae lazima niache kazi ungekua wewe ungefanyaje mtu alikudharau huko nyuma alikuona takataka akaoa mwanamke mwingine yamemshinda anarudi tena
Once a devil always a devilnilikuwa na mwanaume X tulibahatika kupata mtoto mmoja akaniacha akaoa mwanamke mwingine amekaa nae miaka minne hakumpelekea barua Wala mahali katika kuishi nae wakapata Tena mtoto,nilivyoona anaishi na mwanamke mwingine mimi nikaendelea na maisha yangu na nimepata ajira tofauti na eneo analoushi baba mtoto Sasa anaimba turudiane na nikirudiananae lazima niache kazi ungekua wewe ungefanyaje mtu alikudharau huko nyuma alikuona takataka akaoa mwanamke mwingine yamemshinda anarudi tena
Alikudhuru,alikuona takataka na alikuacha wewe na mtoto wenu.Umemuuliza kama anakuona umebadilika au bado anakuona kenge wa ndani?Mambo mengine utumie tu akili yako.Ukishauriwa sana utapagawanilikuwa na mwanaume X tulibahatika kupata mtoto mmoja akaniacha akaoa mwanamke mwingine amekaa nae miaka minne hakumpelekea barua Wala mahali katika kuishi nae wakapata Tena mtoto,nilivyoona anaishi na mwanamke mwingine mimi nikaendelea na maisha yangu na nimepata ajira tofauti na eneo analoushi baba mtoto Sasa anaimba turudiane na nikirudiananae lazima niache kazi ungekua wewe ungefanyaje mtu alikudharau huko nyuma alikuona takataka akaoa mwanamke mwingine yamemshinda anarudi tena
Hapo unataka tukushauri nini?nilikuwa na mwanaume X tulibahatika kupata mtoto mmoja akaniacha akaoa mwanamke mwingine amekaa nae miaka minne hakumpelekea barua Wala mahali katika kuishi nae wakapata Tena mtoto,nilivyoona anaishi na mwanamke mwingine mimi nikaendelea na maisha yangu na nimepata ajira tofauti na eneo analoushi baba mtoto Sasa anaimba turudiane na nikirudiananae lazima niache kazi ungekua wewe ungefanyaje mtu alikudharau huko nyuma alikuona takataka akaoa mwanamke mwingine yamemshinda anarudi tena
nilikuwa na mwanaume X tulibahatika kupata mtoto mmoja akaniacha akaoa mwanamke mwingine amekaa nae miaka minne hakumpelekea barua Wala mahali katika kuishi nae wakapata Tena mtoto,nilivyoona anaishi na mwanamke mwingine mimi nikaendelea na maisha yangu na nimepata ajira tofauti na eneo analoushi baba mtoto Sasa anaimba turudiane na nikirudiananae lazima niache kazi ungekua wewe ungefanyaje mtu alikudharau huko nyuma alikuona takataka akaoa mwanamke mwingine yamemshinda anarudi tena
Maswali mengine muwe mnauliza hata huko kwenye jumuia au kwenye vikoba , jamii forum ni forum ya GREAT THINKING hapa watu huleta mada ngumu zenye kihitaji majibu mepesi🤣🤣 anyway kwasababu umetaka ushauri basi ngoja tukushauri,nilikuwa na mwanaume X tulibahatika kupata mtoto mmoja akaniacha akaoa mwanamke mwingine amekaa nae miaka minne hakumpelekea barua Wala mahali katika kuishi nae wakapata Tena mtoto,nilivyoona anaishi na mwanamke mwingine mimi nikaendelea na maisha yangu na nimepata ajira tofauti na eneo analoushi baba mtoto Sasa anaimba turudiane na nikirudiananae lazima niache kazi ungekua wewe ungefanyaje mtu alikudharau huko nyuma alikuona takataka akaoa mwanamke mwingine yamemshinda anarudi tena
Sasa kwanza huyo kashazaa na Mwanamke mwingine Ina maana hapo inabidi ukubali muwe wake wawili, labda ingekua huyo Mzazi mwenzake bahati mbaya amefariki ninge kushauri umkubali.nilikuwa na mwanaume X tulibahatika kupata mtoto mmoja akaniacha akaoa mwanamke mwingine amekaa nae miaka minne hakumpelekea barua Wala mahali katika kuishi nae wakapata Tena mtoto,nilivyoona anaishi na mwanamke mwingine mimi nikaendelea na maisha yangu na nimepata ajira tofauti na eneo analoushi baba mtoto Sasa anaimba turudiane na nikirudiananae lazima niache kazi ungekua wewe ungefanyaje mtu alikudharau huko nyuma alikuona takataka akaoa mwanamke mwingine yamemshinda anarudi tena