Nisaidieni maana ya hizi

Nisaidieni maana ya hizi

muggyen

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
347
Reaction score
254
Heri ya pasaka wana jf natumaini mnafurahia huko mlipo
Naomba mnisaidieni maana ya hizi material na kazi zake kwenye large format printing
PVC STICKER
CONTRAVISION/ONE WAY
BLOCKOUT BANNER
LEFLECTIVE STICKERS
LEFLECTIVE BLOCKOUT BANNER
ROLL UP BANNER MATERIAL

Hoping i will find great help here
Thanks in advance
 
Kwa lugha ? Ambayo google imeshindwa kukufafanulia ? í-½í¹‰
 
Ufafanuzi wa maana zake na kazi ila nachukua ushauri wa kugoogle pia
 
Back
Top Bottom