NISAIDIENI KWA HILI

NISAIDIENI KWA HILI

Exformer

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2018
Posts
856
Reaction score
989
Najua HAIHUSIANI SAN ILA MSAADA
Nina degree ya COMMUNITY ECONOMIC DEVELOPMENT.
Naitafutia uzoefu ili badae niweze kuwa na chochote kwenye CV na kuombea Kazi.
Nisaidie hata Internship tu.
Location :KIGOMA ila kokote kama kuna uhakika mimi nitafika.
Msaada waungwana ,mniinue.
 
Wazee wa fanya kazi mwezi huu bure mwezi ujao tutaanza kukulipa wanakuja
 
Huo muda wa kutaka ufanye kazi kwa kujitolea nakushauri fungua genge, au uza juice, uza chakula kwa oda, uza chips, uza vinywaj... Utapoteza muda na nguvu na utakua umejiongezea umasikini...
Ila vijana miaka hii someni course zenye uhakika wa ajira hizo course zenu mnazo zipenda hazina soko hata kujiajiri nazo hamuwez...
 
Nayafaham yote usemayo, ila kuipambia inshu iliyoniweka darasan miaka 3 sio vibaya pia, najua nahitajika kufanya nn
 
Huo muda wa kutaka ufanye kazi kwa kujitolea nakushauri fungua genge, au uza juice, uza chakula kwa oda, uza chips, uza vinywaj... Utapoteza muda na nguvu na utakua umejiongezea umasikini...
Ila vijana miaka hii someni course zenye uhakika wa ajira hizo course zenu mnazo zipenda hazina soko hata kujiajiri nazo hamuwez...
Nina x Wangu Alisota Sana mtaani mwisho mwisho akapata mdhamini wa kwenda chuo nilishangaa anasema nimechagua cz ya commuty development nilimsihi sana tata cz ambayo hata ukimwambia mtu akutaftie mishe ni rahisi lkn alikuwa jeuri kweli 20 jamaa yangu alimaliza pale udsm degree ya political scince asaiv yuko ng'ombe analina asali...
 
Kila kitu huja kwa wakati
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom