Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,952
AsanteSAMSUNG sijaona shida miaka 6 -7
AsanteNitumia LG leo mwaka wa tatu sasa iko poa kinyama,
Lkn nakushauri ununue Sony maana hapo ndo inaonekana bei yake ipo juu na siku zote kizuri gharama
Jamani mkata mkaa si kweliMm sijui ata redio sina
Kwel kabisa ..redio sina na tv sinaJamani mkata mkaa si kweli
Asante mpendwaSAMSUNG,LG na SONY 32" features nyingi zinafanana....ila LG na SONY zina extra feature ya Wi-Fi na kwenye resolution LG imewazidi kidogo hao wengine
Kwa quality tu ya graphics na picha hizi zote tatu hazitofautiani sana, Mi nakushauri uchukue kitu SONY ila hakikisha ni High Definition na ni LED hutojutia mkuu na kama ujuavyo SONY wako vizuri sana upande wa sound
Asante chief,ntatumia hiyo guidelineni kosa kubwa sana kununua kitu kwa kuangalia brand tu, unatakiwa ujijue mwenyewe matumizi yako ni yapi, ila kwa tv ya kisasa unatakiwa
1. iwe na service centre tv ikiharibika utengenezewe
2. iwe na kioo cha LED
3. port za usb, hdmi, vga (kama una laptop au desktop)
4. display iwe ni Ips au technology nyengine yenye view angle nzuri ili hata ikikaa sebuleni mnaona pande zote
5. warranty ya manufacture na sio mwenye duka, etc
Mara nyingi hao jamaa hawatofautiani sana kweny basic specs ,ila kuna extra features chache ndio zinatofautiana..so far LG is good ,ile UI tu ya LG ni mwisho.Mambo zenu,naomba mnisaidie kuchagua kati ya tv hizi:
SAMSUNG
LG
SONY
HEISENCE
SOLSTAR
Zote ni inch 32 na price zao zinarange sawa except kwa SONY iko juu kidogo kuliko zingine hapo.
Nimegoogle nimeelewa some vitu some viko kiufundi zaidi sijaelewa...
Nataka kujua ipi ni bora kuliko zingine ktk hio list hapo...
Cc Chief-Mkwawa naomba usiache kupita hapa
samsung au home baseNa wengine jamani kujeni basi mnishauri...
UI ndo nini??/Mara nyingi hao jamaa hawatofautiani sana kweny basic specs ,ila kuna extra features chache ndio zinatofautiana..so far LG is good ,ile UI tu ya LG ni mwisho.
Chukua iyo LG ukatulie nayo mkuu.
ntajuaje kama in aking'amuzi ndani???Natumia LG, ni nzuri sana kwenye ubora picha na rangi. Kabla sijanunua nilimwambia muuzaji aniwashie TV tofauti kwa wakati mmoja na kwa picha moja. Ukweli LG aliwapita wengine wote Kwa ubora wa picha na rangi.
Utakapofikia uamuzi wa TV ipi ununue hakikisha unanunua yenye king'amuzi ndani. Mimi huwa kifurushi kikiisha kwenye King'amuzi ninachotumia na sina pesa ya kulipia, huwa natumia cha ndani ya TV na ninapata chaneli zifuatazo bure kabisa:
ITV, Star TV, TV 1, EATV, Capital, Chanel Ten, Emmanuel TV, Al Jazeera, NHK Japan, Arirang, CITIZEN, UHAI TV, Living Water, Africa TV, TBC