Nisaidieni kutegua hiki kitendawili

Nisaidieni kutegua hiki kitendawili

kanali mstaafu

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Posts
4,318
Reaction score
4,114
Umri wangu ni miaka 25 ambayo nimetimiza mwezi uliopita. Nmepitia katika mahusiano na watu kadhaa yakiwepo serious na yale ya one night stand. Sijafikia muda muafaka wa kuoa lakini kwa kiasi fulani katika huu muda nimekuwa nikitafakari juu ya mke wa aina gani nitakuwa naye.

Haya ni baadhi ya mambo niliyoyaona kwa mabinti na wanawake kadhaa ambayo yananifnya nione zoezi la kuchagua mke ni zaidi ya kutegua kitendawili cha kumvua kufuli Malia Obama.

1. Mabinti ambao hawana elimu wanashindwa kufanya mambo kwa mantiki na hata kauli zao huonyesha wazi kuwa hapo mbeleni tutashindwa kuelewana kwa mambo ambayo kama mtu mwenye elimu hamtapata shida.mfano kuna binti mmoja yeye alikuwa analazimisha umuamini tu wakati matendo yake yanatia shaka ili hali imani hujengeka baana ya kuona matendo.

2. Wenye elimu wengi wanadhani elimu yao ni silaha katika kila kitu hivyo wengi wao huota jeuri na kiburi kwa kuwa wanajuona wao ni marketable na wana mtandao mkubwa wa kupata wanaume hasa waliokutana nao vyuo.

3. Kundi la wapenda pesa ndilo pasua kichwa. Huyu mpenda pesa hata kama ukimpa bilioni moja kila siku ila ikitokea mtu akapanda bilion 2 kwa siku atakuona huna maana.

4. Kigezo cha kabila nacho ni mtihani. Siamini kuwa wanawake wa kabila fulani lazima tabia zifanane ila impact ya kabila katika tabia ni kubwa japo kwa asilimia zote. Nikiwaangalia Wazaramo, Wapogoro, Wajita, Wahaya, Warangi, Wanyamwezi na makabila mengine kuna tabia zinaniogopesha.

5. Wale wa kanisani wengi wao wamewekeza vingi kanisani na hivyo treatment kwa mwanaume ni poor.

Jamani hivi mke bora aweje aweje maana hiki ni kitendawili kigumu sana kuliko vyote katika maisha. Na mbaya zaidi nafasi ya kuoa ni moja tu maishani bora tungekuwa tunabadilisha kila baada ya miaka 5 ingekuwa afadhali.
 
Ukianza kuwazia hivyo mkuu hutakaa uwe kwenye mahusiano ya kueleweka au yenye kuwa na malengo ya baadae sababu kila ukikaa unawaza ubaya bila kujua na uzuri upo.

Hapo cha kufanya ni kutokukurupuka kwenye kuchagua mwenza na wakati huo ukimuomba M'mungu kwa imani yako akujaalie uwe ni mwenye kumpata aliye bora na vigezo vya kufaa kuwa mke unayemuhitaji.
 
Mimi nina kitendawili kama cha kwako, na umri kama wa kwako. Naamin kwenye huu uzi watu watushare experience zao ili tusiingie kule kichwa kichwa.
 
Rafiki yangu ana umri kama wako ana mihela saiv tupo baa tumetoka kudai mahali yetu
 
Kanali Mstaafu miaka 25?

Subiri subiri kwanza, miaka 25 unatakiwa uwe unakula tu papuchi, kuoa mpaka uzichoke.
 
Mkuu ndoa za siku hizi kama kubet tuu, wakikushauri sana watakuchania mkeka muoe unaempenda na mwenye mapenzi na familia yako
 
The Choosing of a Husband or Wife

Marriage is something that will influence and affect your life both in this world and in the world to come. A sincere Christian will not advance his plans in this direction without the knowledge that God approves his course.He will not want to choose for himself, but will feel that God must choose for him.We are not to please ourselves, for Christ pleased not Himself. I would not be understood to mean that anyone is to marry one whom he does not love. This would be sin. But fancy and the emotional nature must not be allowed to lead on to ruin. God requires the whole heart, the supreme affections. CCh 112.1

*Those who are contemplating marriage should consider what will be the character and influence of the home they are founding. As they become parents, a sacred trust is committed to them.Upon them depends in a great measure the well-being of their children in this world, and their happiness in the world to come. To a great extent they determine both the physical and the moral stamp that the little ones receive.And upon the character of the home depends the condition of society; the weight of each family’s influence will tell in the upward or the downward scale. CCh 112.2*

*Great care should be taken by Christian youth in the formation of friendships and in the choice of companions.Take heed, lest what you now think to be pure gold turns out to be base metal.Worldly associations tend to place obstructions in the way of your service to God, and many souls are ruined by unhappy unions, either business or matrimonial, with those who can never elevate or ennoble. CCh 112.3*

*Weigh every sentiment, and watch every development of character in the one with whom you think to link your life destiny. The step you are about to take is one of the most important in your life, and should not be taken hastily. While you may love, do not love blindly. CCh 112.4*

*Examine carefully to see if your married life would be happy or inharmonious and wretched. Let the questions be raised, Will this union help me heavenward? Will it increase my love for God? And will it enlarge my sphere of usefulness in this life?If these reflections present no drawback, then in the fear of God move forward. CCh 112.5*

*The choice of a life companion should be such as best to secure physical, mental, and spiritual well-being for parents and for their children—such as will enable both parents and children to bless their fellow men and to honor their Creator. CCh 112.6*
 
Mzee baba kanali mstaafu,

Siku zote unapotarajia kufanya jambo fulani basi usihesabie mazuri tu, kumbuka hata mabaya yapo, sasa we oa halafu kuhusu tabia utambadilisha / kurekebisha wewe mwenyewe usianze kufikiria mbali wakati hata harakati za kupata mke bado.

 
Nipo VERY SERIOUs kaka

Nitajie sifa zao

kama hutojali utanitumia sifa zao PM
They are sexially hot and not boring...
Wana ubinafsi fulani
Ni wepesi kutoa penzi kwa miadi ya pesa
.nimedate nao sana hawa watu ila wana K tamu sana
 
They are sexially hot and not boring...
Wana ubinafsi fulani
Ni wepesi kutoa penzi kwa miadi ya pesa
.nimedate nao sana hawa watu ila wana K tamu sana
Ubinafsi wa aina gani boss

Kwamba chake chake
changu chake au
 
Ungekua umeoa mwanamke wako wa kwanza yote yasingekukuta. Oa unayempenda naye akiwa anakupenda sio unawazini tu bila uoga. Hakuna mwanamke aliyekamilika maana kila mmoja na mapungufu yake tena makubwa makubwa. Ukishamuoa ni rahisi kumdhibiti hata kama ni mkali kama pilipili. Labda uwe huna msimamo kama mwanaume. Mwanamke atakushindaje bana wewe?
 
You are only 25 and thinking about marrying ?? Can't be serious unless age cheated
 
Back
Top Bottom