nisaidieni kupata net income apa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nisaidieni kupata net income apa

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by mkonowapaka, Mar 1, 2011.

 1. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  wadau polen na matatzo ya hapa na pale personal,family au official..ndo maisha!

  kuna mtu apa kapata kazi kwenye taasisi ya serikali mshahara kias cha 1,102,000 gross anahitaji kujua baada ya makato yote atabaki na net kias gani...nijuzeni

  pia anafanya kazi sekta binafs kwa mshahara wa 1,396,000 gross anajishauri aende huko serikalini au abaki...nimejaribu kumshaur aende serikalini bado anajishauri..hajaamua..nipeni mawazo yenu nitamprintia..
   
 2. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  toa 10% social security. pia toa kodi - PAYE calculator check kwenye website ya TRA
   
 3. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kuna deduction kama hizi
  PAYE % 15 - 30
  NHIF or Medex ama nyingine Inategemea
  NSSF/LAPF/PPF 10%


  Ila mshauri aende serikalini kuna security ya kazi na safari kibao, shule na mambo mengi.

  Wafanyakazi wa serikali hatuishi kwa mishahara
   
 4. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Gross TShs 1,102,000
  Social Security (110,200)
  Taxable 991,800
  Tax payable (991,800 -720,000)x30% + 112,500= 194,040
  Net Pay 1,102,000 - 110,200 - 194,040 =797,760 kabla ya makato ya bima ya afya
   
 5. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Mimi sijui Calculation za Serikalini kwasababu kuna jamaa yangu tulikuwa tunafanya naye sector binafsi alikuwa anapata Gross ya 1,230,200 baadaye akapata kazi Serikalini tena Wizara ya Fedha. Mshahara wake ni Gross 438,000 lakini anadai kutokana na mshahara huo ndiyo uliyomuwezesha kujenga nyumba na magari kadhaa. Hivyo nikipata namna wanavyo calculate nitakujuza.
   
 6. Mark Francis

  Mark Francis Verified User

  #6
  Mar 1, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 605
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwa gross ya 1,102,000/=, itakua:
  Gross 1,102,000
  PPF/NSSF 110,200
  Tax 194,040
  Net Pay 797,760

  Kwa Gross ya 1,396,000, itakua:
  Gross 1,396,000
  PPF/NSSF 139,600
  Tax 273,420
  Net Pay 982,980

  Nafikiri umenisoma!?
   
 7. K

  Kasana JF-Expert Member

  #7
  Mar 1, 2011
  Joined: Apr 3, 2007
  Messages: 414
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kama alikwambia ni mshahara pekee aliuwa anakudanya
   
 8. V

  Vakwavwe JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2011
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hao ndo wezi wadogowadogo tunaowasema wanaila serikali ya JK.
  ukienda serikalini kwa kigezo cha safari,posho n.k huna tofauti na akina RA sema unakuwa hujapata pa kuanzia.
  ni mbaya kutamani ufisadi.
   
 9. K

  Kosmio Senior Member

  #9
  Mar 1, 2011
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 128
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ulivyomshauri kuwa aende serikalini ulimpa sababu za ushauri wako? au kuna ushauri ulimpa unaficha kusema hapa jamvini?
   
 10. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #10
  Mar 1, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,869
  Likes Received: 2,814
  Trophy Points: 280
  BASIC SALARY = 771,400.00
  HOUSING ALLOWANCE = 115,710.00
  OTHER ALLOWANCES = 214,890.00

  GROSS PAY = 1,102,000.00

  LESS: NSSF = 110,200.00
  HOUSING ALLOW. = 115,710.00

  TAXABLE PAY = 876,090.00

  TAX DUE (876,090 - 720,000)*30%+112,500 = 159,327.00

  TOTAL DEDUCTIONS (NSSF+TAX DUE) = 269,527.00

  NET PAY/TAKE HOME = 832,473.00

  Hapa ndugu kuna hicho kitu kinaitwa housing allowance (ambayo huwa ni 15% ya Basic Salary) huwa haikatwi kodi. Hivyo huyu jamaa akipa hiyo kwa Serikali ni bora kuliko ile nyingine kwa Private Sector. Bila kuficha, Serikalini kuna fursa nyingi kuliko huko kwingine. Hapa utaona kuwa tofauti ya mshahara itakuwa ndogo sana, hivyo jamaa atakuwa na muda wa kutosha Serikalini kuliko private sector (kule mjomba wanakukamua mpaka mwisho).

  Wakuu nilikuwa nimeweka kwenye jedwali lakini bahati mbaya limegoma.
   
 11. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #11
  Mar 2, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  correct.....
   
 12. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #12
  Mar 2, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  sasa hapo ndipo penye uonevu,sisi huku kwenye private sector wanatulima kodi kwa kila allowance(labda uchukue kama rent advance) lakini wao wanaofaidi kodi zetu wanainjoi relief kama hizo,.....ntaandamana
   
Loading...