Nisaidieni kupata kozi ya nursing

Nisaidieni kupata kozi ya nursing

DALT

Senior Member
Joined
Jul 17, 2021
Posts
168
Reaction score
77
Habari wakuu Nina kaka yangu amekuwa akiomba kozi ya nursing chuo Cha serikali mwaka wa pili sasa hapati kwa ngazi ya cheti na diploma matokeo yake ni div 3 ya 25,phy-D,chem-D,bios-C,je nini tatizo na uwezo wa kwenda vyuo binafsi hana Ila kwa vyuo vya serikali yupo tayari kufanyiwa connection na wenye uzoefu wa hayo Mambo,
 
Kwa ngazi ya cheti hapo anapata vizuri tu ila Dip ni changamoto
 
Vyuo vp mkuu unavyozani anaweza pata maana vyuo vina ushindani,bila kuwa na connection ni ngumu kupata
Aombe certifacate anapata nilimuombea mdogo wangu mwenye ufaulu kama huo 2020 pale PHCI akapata now anapiga mwaka wa pili
 
[emoji120] sana ntalifanyia kazi
 
Connection kwa kazi sawa Ila kusoma ni uongo saiv matokeo yanaingizwa kweny system Kama hauna vigezo inakutema automatically
Nasemea baada ya kukutema bdo sio wanafunzi wote hufka chuoni hivyo zile nafasi znachukuliwa na wengne kw njia y connection
 
Sikia ukishindwa kupata chuo cha serikali moja kwa moja basi nenda kaanzie private ili uingie kwenye system baada ya mwaka mmoja ukiwa umefaulu bila supp unaweza kuhama..vinginevyo ngumu sana japo unalosema kuhusu cinnection lipo sana ila kupata mtu ni ishu maana siku hizi kila mtu analinda ugali wake..kumbuka afisa msajili wa chuo ndiye anayehusika kuchagua akishirikiana na Bidi nzima ya chuo.
 
Sawasawa mkuu nmekupata
 
Habari wakuu Nina kaka yangu amekuwa akiomba kozi ya nursing chuo Cha serikali mwaka wa pili sasa hapati kwa ngazi ya cheti na diploma matokeo yake ni div 3 ya 25,phy-D,chem-D,bios-C,je nini tatizo na uwezo wa kwenda vyuo binafsi hana Ila kwa vyuo vya serikali yupo tayari kufanyiwa connection na wenye uzoefu wa hayo Mambo,
Kwa serikali pia huwa ngumu kupata kutokana na competitiona na haswa haswa kama umemaliza miaka ya nyuma. Mfano umemaliza Form IV 2018 kupata chuo cha serikali 2022 ni ngumu bila connection
 
Dah afu ye kamaliza 2016
 
Na entry ya dip ipoje kama umemaliza six utatumia tokeo la six au la four
 
Habari wakuu Nina kaka yangu amekuwa akiomba kozi ya nursing chuo Cha serikali mwaka wa pili sasa hapati kwa ngazi ya cheti na diploma matokeo yake ni div 3 ya 25,phy-D,chem-D,bios-C,je nini tatizo na uwezo wa kwenda vyuo binafsi hana Ila kwa vyuo vya serikali yupo tayari kufanyiwa connection na wenye uzoefu wa hayo Mambo,
Kwann unamsingizia Kaka yako!?
 
Back
Top Bottom