Nisaidieni kupata kazi

Ally Mashaka

New Member
Jan 19, 2014
1
0
Habari wana jf mimi nina shida sana na kazi kwa yeyote ambaye atakaeweza kunisaidia kwa hilo nitamshukuru sana nimemaliza chuo nimesoma aviation flight dispatcher nimejaribu kutuma mambo ya kazi kwenye kampuni mbali mbali kama swissport fastjet precision auric air na nyingine bila mafanikio kwa yeyoyote anaweza kunisaidia e mail yangu ni allymashaka1992@gmail.com au namba za simu 0716720309,0768331805
 
Back
Top Bottom